TSSFL
Member
- Mar 8, 2013
- 44
- 81
Hata sisi Sua wamegundua vitu vingi tu, Kama, Mtambo wa kutengenezea sabuni, banya wa kupima tb, wakutegua mabomu Dawa za madoa NK, Daaah! Inatia uchungu kusema kweli ningekuwa na uwezo ningebadili vyuo vyote kuwa stoo za mazao ya kilimo.
mkuu huu wako ni ugunduzi na unaonekana kabisa ni wa kiafrica ili kukabiliana na mazingira ila huo wa mnigeria ni show off tu.
-solar si yake kama ya dukani
-magari ya umeme yapo kibao
-gari si lake ni la wazungu
-matairi yapo modified kidogo ila hamna kipya
mfano wake ni kama mimi nitumie kioo cha samsung cover la sony mother board ya nokia halafu nijisifie nimegundua simu
Mkuu habari haijasema amegundua (invent) bali imesema innovate... "Process of translating an idea or invention into a good or service that creates value
Kafanya Innovation kwa kubadilisha gari linalotumia internal combustion system na litumie solar, kwa kutumia vitu vinavyopatikana kwa urahisi sehemu alipo kwahio kuna value ya sehemu aliyopo kwa watu kubana matumizi ya petrol..yah hio innovation ipo wapi? sababu hapo nimeona modding na sio innovation.
hebu google solar carKafanya Innovation kwa kubadilisha gari linalotumia internal combustion system na litumie solar, kwa kutumia vitu vinavyopatikana kwa urahisi sehemu alipo kwahio kuna value ya sehemu aliyopo kwa watu kubana matumizi ya petrol..
Innovation sio mpaka mtu uje na vitu ambavyo havipo au mawazo mageni unaweza kutumia well known ideas ukazi-compile na kutengeneza product inayohitajika / kusaidia jamii husika
Kufanya kwake hivi sio kwamba solar car ilikuwa haipo / au hiki kitu hakijulikani; hata kama angebadilisha hio Volkswagen ili iweze kuendeshwa kama baiskeli au akaifanya kama cart iweze kuendeshwa kwa nguvu za farasi au ngombe bado ingekuwa innovation; kutumia vitu ambavyo vipo katika mazingira kusaidia shughuli za palehebu google solar car
Kufanya kwake hivi sio kwamba solar car ilikuwa haipo / au hiki kitu hakijulikani; hata kama angebadilisha hio Volkswagen ili iweze kuendeshwa kama baiskeli au akaifanya kama cart iweze kuendeshwa kwa nguvu za farasi au ngombe bado ingekuwa innovation; kutumia vitu ambavyo vipo katika mazingira kusaidia shughuli za pale
kama hajaelezea mechanism tofauti ya kufikia hio solar car na katumia njia zile zile za kawaida tusidanganyane hakuna innovation.
kwa sababu ili innovation iwepo kunatakiwa kuwepo na
1. better solution
2. new requirement
tuna mahitaji ndio ya gari kama hilo je hio solution yake ni nzuri? ni mpya? au ndo yale yale ya kila siku?
Katumia malighafi zilizopo sehemu alipo (easy acquired things) kwahio hata kama solution yake sio nzuri wala mpya lakini inaweza kufanyika easily kwa kutumia vitu vinavyopatikana locally, na ni better solution kuliko watu kutumia mafuta bado hio ni innovation.. Swapping the readily available materials in local market to convert an internal combustion engine into a solar powered car
locally available (yaani readily available) sio kazi kuvipata locally. Hata hilo gari uliloweka hapo juu vitu vingi vimekuwa imported kutoka sehemu tofauti, from plastics, panels, vyuma, rubber, tyres n.k.hapana sio local available vyote tume import nitajie kipi kimetengenezwa nigeria.
locally available (yaani readily available) sio kazi kuvipata locally. Hata hilo gari uliloweka hapo juu vitu vingi vimekuwa imported kutoka sehemu tofauti, from plastics, panels, vyuma, rubber, tyres n.k.
kaka unajua kua unaweza tengeneza gari, simu, pikipiki bila innovation just kwa ku assemble vitu halafu ukaunga kama walivyounga wenzako hivyo ndio alivyofanya jamaa. innovation inakua hivi...
mfano gari ya kawaida ya solar inatumia volt 240 basi mtu anakujua anagundua njia gari inatumia volt 18 tu kama laptop hivyo kuisaidia dunia kusave energy.
Kwa mfano tuseme labda hili gari la jamaa sio bora wala imara kama mengine, na technology hii sio ngumu kila mtu anaweza, ila jamaa akachukua gari ambalo ni la bei rahisi sana na lipo mahali pengi (ingawa huenda sio legal) na kwa kutumia vitu ambavyo vinaweza kupatikana kwa urahisi sehemu alipo, aka-assemble gari ambalo linaweza kuwasaidia watu wengi kutumia kutokana na kupunguza gharama ya mafuta..., yaani kwa ufupi alichofanya ni kuwezesha public / jamii inayomzunguka, kutumia kile kitu kwa gharama nafuu au kuweza kutumia kitu fulani ambacho otherwise wasingetumia (ingawa pia wangeweza kuagiza kutoka sehemu nyingine) Je hio sio innovation ya ku-offer service which otherwise was not available in the said community ?
Innovation inaweza ikawa kuchukua kazi ya mtu au group ya watu na kuipeleka mainstream
ni kweli ila kama wakimshauri akaongezea hio panel kwenye mikweche yote ya huko kwao huoni kwamba atakuwa ametoa msaada kwa jamii (kwa maneno mengine ametumia yale mawazo ya watu wengine kuwezesha jamii kuweza kutumia this well known cheap technology; tena mimi ukiniuliza kwa simplicity alichokifanya nadhani kafanya kazi nzuri kuliko hao jamaa wa Veta (hao ndio wamefanya assembling tu)kaka imekua rahisi sababu ni unit 1 tu. hata akipewa order ya magari 100 hana pa kuyatoa mengine itabidi ku import ambapo cost itakua kubwa kuliko hilo gari la solar
ni kweli ila kama wakimshauri akaongezea hio panel kwenye mikweche yote ya huko kwao huoni kwamba atakuwa ametoa msaada kwa jamii (kwa maneno mengine ametumia yale mawazo ya watu wengine kuwezesha jamii kuweza kutumia this well known cheap technology; tena mimi ukiniuliza kwa simplicity alichokifanya nadhani kafanya kazi nzuri kuliko hao jamaa wa Veta (hao ndio wamefanya assembling tu)
Mkuu wewe unaongelea dunia (a better solution kwa dunia) lakini sio lazima target audience iwe dunia inaweza ikawa jamii inayomzunguka.., kwahio kama hicho alichofanya kitatoa a better service (watu wanacommute bila mafuta) basi ni innovation (a better service to a community); hata kama ni kwa ku-recycle materials ambazo zipo tayari, au hata ingekuwa ni kufunga solar kwenye kila baiskeli mtaani ili kwenye milima iweze kutumia motor...kufunga sollar hakumfanyi yeye awe amefanya innovation kaka kumbuka ile rule ya inovation lazma kuwe na better solution isiyo exist kama jamaa hajaongeza kitu duniani basi hajafanya innovation simple and clear.
Sijasema VETA ni wachovu au wanachofanya sio innovative ni wazuri sana ila nimesema hilo gari lao ni just assembling ready made products na kuunganisha na kutengeneza hilo gari (huenda hakuna tofauti yoyote na wale wazungu au other manufacturers wanachokifanya...) lakini kwa huyu kijana kutokana na hii picha nimemkubali sababu kijigari kinaonekana kilishachoka (otherwise kingetupwa kama chuma chakavu) lakini amekiwekea solar panel na matairi sijui ya nini ili kiweze kupiga kazi (kitu ambacho kinaweza kusaidia jamii kwa kuchukua an otherwise useless product na kuifanya useful); kwakweli hapo tunaweza kusema kijana ni innovative (huenda wenzake wangepeleka hilo gari kuuza kama vyuma chakavuna kuhusu veta jamaa nawakubali sana maana tofauti na wengine ambao huiga uzungu na kutudanganya kuhusu magari kama hayo na vitu kama pikipiki wengine hadi hellcopter, wao veta innovation zao ni za mazingira yetu kama ndoano bora za samaki, mashine za matofali, power tila na nyenginezo