Nigerian student innovates solar-powered car

Nigerian student innovates solar-powered car

Hivi hilo gari la mnaigeria lilivyo kaa ukilikuta porini lazima utawanyike kwani linatisha, hamna ubunifu wowote .
 
wakati mnaendelea kulumbana,sisi huku nigeria-west africa tutaendelea kufanya innovations za kila aina.siku si nyingi tuta innovates mbinu mpya ya kuwatapeli watu wa EA kule fb.tutaachana na ile ya kizamani ya kuwatumia inbox na kujifanya watoto wa kike tunao hitaji urafiki nanyi.lol
 
Wakati wanaendelea "ku-innovate" mi nitamtafuta my long lost cousin wa Nigeria, inasemekana mimi ndo last relative niliyesurvive... Anahitaji nimtumie pesa kidogo tu alafu tugawane ule urithi aliotuachia anko yetu....
 
Back
Top Bottom