babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,644
- 3,326
Kwa mweziMimi ni mshamba mkuu hii figure ni annual salary or monthly?
Kwa mweziMimi ni mshamba mkuu hii figure ni annual salary or monthly?
Hii ilinunuliwa shs ngapi hivi kwa pesa yetu halali ya madafuLABDA MTUKUFU PREZDAH WETU ANAITUMIA KWA SASA
OVA
Kwa hiyo sasa hivi WANIGERIA wanakula kuku kwa mrija baada ya RAIS wao kupunguza mshahara wake?????????HIVI vitoto vya BAVICHA vina matstzo sana............EBU NENDENI DARASANI MKASOMEMagufuli effect ipi? Huyu wa Nigeria kaingia madarakani akapunguza mshahara wake kwa 50%, magufuli kuutaja mshahara wake tu anagwaya pamoja na kuahidi kuweka hadharani salary slip yake na mshahara wake wa milioni 400 hata sent moja ya kodi hakatwi. Mafisadi na majizi akina Lugumi, Escrow, IPTL, MV Ufisadi etc anawagwaya hata kuwataja hadharani kabaki kwebda kuwaonea wafanyakazi wadogo.