Kapyungu A
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 3,499
- 3,167
Mil 400[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] . Afu anaseme tuishi kama peponi. Mbona yeye anaishi kama yuko mbinguni sasaMagufuli effect ipi? Huyu wa Nigeria kaingia madarakani akapunguza mshahara wake kwa 50%, magufuli kuutaja mshahara wake tu anagwaya pamoja na kuahidi kuweka hadharani salary slip yake na mshahara wake wa milioni 400 hata sent moja ya kodi hakatwi. Mafisadi na majizi akina Lugumi, Escrow, IPTL, MV Ufisadi etc anawagwaya hata kuwataja hadharani kabaki kwebda kuwaonea wafanyakazi wadogo.