mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 94,071
- 132,528
LABDA MTUKUFU PREZDAH WETU ANAITUMIA KWA SASANinachotaka kujua. Imeenda wapi??????![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
OVA
LABDA MTUKUFU PREZDAH WETU ANAITUMIA KWA SASANinachotaka kujua. Imeenda wapi??????![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Serikali ya Nigeria imeamua kuuza ndege 2 zilizo kuwa zinatumiwa na rais wa nchi hiyo ili kupunguza matumizi ya serikali.
Naona wamedhamilia
Bila shaka wengi walishikishwa mshiko mnene ndiyo maana wanamuogopa maana anaweza kuwaanika hadharani wote waliochukua mshiko. Ukishafisadi Serikalini kula na walio jikoni ili wakulinde kwa hali na mali. Si unamuona Ruge Mkuu naye anapeta mtaani kwa raha zake hakuna wa kumgusa maana alitembeza mshiko mnene mpaka ndani ya Ikulu.
Umenikumbusha ya zamani,dah!LABDA MTUKUFU PREZDAH WETU ANAITUMIA KWA SASA
OVA
Sasa kilasiku mbona anapatikana magogoni. Au ndo inawashwa tu na kuzimwaLABDA MTUKUFU PREZDAH WETU ANAITUMIA KWA SASA
OVA

TULIA BOLI...NIGERIA WAMEUZA NDEGE ZAO N'A DUNIA NZIMA WANAFAHAMU....We nawe kha! Tangu utafune hela za Fisadi Kuu na kugeuka kuwa mpambe wake hatupumui!
HeheheSasa kilasiku mbona anapatikana magogoni. Au ndo inawashwa tu na kuzimwa![]()
![]()
![]()
NYASI TULE LAKINI NDEGE ITANUNULIWA...TUUmenikumbusha ya zamani,dah!
Itakua umeguswa na utendaji wake...poleMagufuli effect ipi? Huyu wa Nigeria kaingia madarakani akapunguza mshahara wake kwa 50%, magufuli kuutaja mshahara wake tu anagwaya pamoja na kuahidi kuweka hadharani salary slip yake na mshahara wake wa milioni 400 hata sent moja ya kodi hakatwi. Mafisadi na majizi akina Lugumi, Escrow, IPTL, MV Ufisadi etc anawagwaya hata kuwataja hadharani kabaki kwebda kuwaonea wafanyakazi wadogo.
Mkuu haya mambo ya ushabiki bila evidence ndio yalisababisha mkaumbuka kwa lowasa,mlimsingizia sasa mnajikomba mpate japo mkateWaliupeg mshahara wa mtakatifu kwa US Dollar ni $192,000 per annum hivyo pesa yetu ikianguka na mshahara unazidi kupaa. Tafuta conversion rate ya leo utaona equivalent yake na pesa yetu ya kibongo.
Hoja ni kubana matumiziTULIA BOLI...NIGERIA WAMEUZA NDEGE ZAO N'A DUNIA NZIMA WANAFAHAMU....
HIVI ILE NDEGE ILIYONUNULIWA MPAKA SISI TUKALAAA NYASI SANA IKO WAPI IMEUZWA KINYEMELA AU
OVA
Raisi kama mtumishi namba moja wa serikali alipaswa kukatwa kodi kwa kuwa hadi mtumishi wa kima cha chini kabisa analipa kodi kwa taifa lake,sijui uzalendo wake uko wapi sasa!Magufuli effect ipi? Huyu wa Nigeria kaingia madarakani akapunguza mshahara wake kwa 50%, magufuli kuutaja mshahara wake tu anagwaya pamoja na kuahidi kuweka hadharani salary slip yake na mshahara wake wa milioni 400 hata sent moja ya kodi hakatwi. Mafisadi na majizi akina Lugumi, Escrow, IPTL, MV Ufisadi etc anawagwaya hata kuwataja hadharani kabaki kwebda kuwaonea wafanyakazi wadogo.
Richmond umeisahau Mkuu!Magufuli effect ipi? Huyu wa Nigeria kaingia madarakani akapunguza mshahara wake kwa 50%, magufuli kuutaja mshahara wake tu anagwaya pamoja na kuahidi kuweka hadharani salary slip yake na mshahara wake wa milioni 400 hata sent moja ya kodi hakatwi. Mafisadi na majizi akina Lugumi, Escrow, IPTL, MV Ufisadi etc anawagwaya hata kuwataja hadharani kabaki kwebda kuwaonea wafanyakazi wadogo.
Kumbe wanaishi kama malaika ne wengi😀😀😀😀Waliupeg mshahara wa mtakatifu kwa US Dollar ni $192,000 per annum hivyo pesa yetu ikianguka na mshahara unazidi kupaa. Tafuta conversion rate ya leo utaona equivalent yake na pesa yetu ya kibongo.
ww jamaa kama unamponda magu kwa mapenz yako bhas utakuwa unamchukia sana maana daily ww ni wa kumpaka na kama unalipwa kufanya hvo nahs bhas utakuwa unalipwa palefu sana maana umekuwa responce unit ya txt yyte itakayo msifu magu.
Kumbe wanaishi kama malaika ne wengi😀😀😀😀
Magufuli kaiga kwao,wao ndo wakwanza kusema wanabana matumizi tangia buhar kachukua nchiMagufuli effect