Nigeria ni tajiri kuliko Iran

Nigeria ni tajiri kuliko Iran

Iran ana vikwazo vya kiuchumi kwa zaidi ya miaka 40 halafu mtu anaikejeli eti imezidiwa GDP na Nigeria,Iran wana fight kivyao na wanaendesha nchi yao,

Angalia Zimbabwe aliwekewa vikwazo alikuaje? Kuna nchi hazina vita wala vikwazo vya kiuchumi ila zimeechwa mbali sana na Iran.
Safi kabisa Mkuu agiza chochote nitakuja kulipia.
 
Nigeria ndo nchi yenye GDP kubwa Africa inapita SA Egypt Tunisia Algeria na Tanzania.......ila raia wa Nigeria wanatabika kuliko raia wote wa hizo nchi wako tayari wazame kwenye baharini ili watafute maiaha nje ya Nigeria.

Kwahiyo utajili wa nigeria hauna manifaa kwa wa Nigeria,
Tatizo ni nini?
 
In economic front Nigeria beats Iran by far Nigeria is a quarter more GDP than Iran

Wana njengo kifupi Nigeria ni tajiri kuliko Iran kiuchumi!!

Viva nigeria

View attachment 2787140
View attachment 2787141
Una elimu gani kiasi kwamba huwezi fanya analysis za kiuchumi? Halafu utambue kuwa na GDP kubwa hakumaanishi hiyo nchi imeendelea, lazima utofautishe GDP (nomina) na GDP (per capita) vile vile utofautishe kukua kiuchumi na maendeleo.

Nikupe tu mifano michache:
1.Nigeria ina GDP kubwa karibu mara mbili ya Portugal lakini lakini Portugal imeendelea zaidi ya Nigeria. The same to SA ina GDP ndogo kuliko Nigeria yet imeendelea zaidi ya Nigeria.
2.Tanzania ina GDP kubwa kuliko Estonia na hata Croatia yet wamepiga hatua kubwa kimaendeleo kuliko sisi.
3. India ina GDP kubwa kuliko Uingereza(UK) lakini kwa maendeleo inazidiwa hata na Netherland.
 
Acha chuki mleta uzi lengo lake sio la kidini wewe umekuja na chuki za dhidi ya waislamu sasa.
Welfare USA ni wabovu hata Tz nafuu
Haiwezi kuwapita Kuwait wala nchi yeyote ya kiarabu
 
Welfare USA ni wabovu hata Tz nafuu
Haiwezi kuwapita Kuwait wala nchi yeyote ya kiarabu
Mkuu, US ina dole money for un employed population, Bima ya afya kwa raia wote, free basic education, compulsary higher education loan, cheap housing mortage, good pension scheme. nk.. nchi za kiarabu kama Tunisia, Yemen Algeria, Egypt Libya Sudan, palasitine hazona tofauti kubwa na maisha ya kati ya watanzania
 
USA Haina bima ya afya Kwa raia wake wote...wala cheap housing mortgage sijui wewe haya umeyatoa wapi...mara ya Kwanza Obama kajaribu kuleta Obamacare na Trump akaja kuiharibu.....

UAE Raia wanasomeshwa bure bila mkopo na nyumba wanapewa bure..
Kuwait,Saudia Arabia the same
Algeria standard of life iko juu sana ...huwezi linganisha na Tz...bei ya mafuta Tu iko chini kuliko Ulaya...
 
Nakubaliana na wewe 100% UAE, Kuwait Qatar Brunnei Saudi Arabia maisha yao ni first class dunia nzima hata scandinavia hawafikii kabisa

Ila na pingana nawewe kwamba Yemen, Libya, Sudani Egypt ambao ni sehemu ya waarabu kwamba kuna maisha mazuri kupita Tanzania kiusalama na kiuchumi.

Mfumo wa bima wa afya wa US ni Mzuri ila una ubaguzi fulani, kama huna ajira au kipato kizuri utakubaguwa, obama care alilenga kila mtu apate access kwenye bima ya afya regardless his or her income, kwa hapo alikua analenga millions of blacks and spaniards ambao hawawezi kwa afford kupata good paying jobs.
 
Matajiri wa uchumi masikini wa akili.

Ni kama Tanzania tu, matajiri wa mali asili masikini wa akili.
 
Nakubaliana na wewe 100% UAE, Kuwait Qatar Brunnei Saudi Arabia maisha yao ni first class dunia nzima hata scandinavia hawafikii kabisa

Ila na pingana nawewe kwamba Yemen, Libya, Sudani Egypt ambao ni sehemu ya waarabu kwamba kuna maisha mazuri kupita Tanzania kiusalama na kiuchumi.

Mfumo wa bima wa afya wa US ni Mzuri ila una ubaguzi fulani, kama huna ajira au kipato kizuri utakubaguwa, obama care alilenga kila mtu apate access kwenye bima ya afya regardless his or her income, kwa hapo alikua analenga millions of blacks and spaniards ambao hawawezi kwa afford kupata good paying jobs.
Ya kwamba unailinganisha tz na Egypt ?
 
Mkuu funguka zaidi kuhusi Egypt kama unaifahamu zaidi na inamaisha mazuri kuliko urban Tz.
Mkuu Egypt inaizidi kila kitu tz wala uhitaji elimu kulijua hilo.

Sisi nchi unayo weza kutushindanisha nayo ni kenya.
 
Mkuu Egypt inaizidi kila kitu tz wala uhitaji elimu kulijua hilo.

Sisi nchi unayo weza kutushindanisha nayo ni kenya.
Mkuu inaizidi kwa kipi, jitahidi kua specifiki hawezi kuzidi nchi kila kitu hata US haituzidi kila kitu........mimi nacho jua egypt inazidi Tz influstructure au miundombinu tu ila average life style ya mtu moja moja na food security pamoja na uhuru na Amani Tz iko vizuri sana kuipita Algeria Egypt na sudan.
 
Sasa mkuu unacho bisha ni kitu gani hivi unajua kuwa uchumi wa jiji moja tu la cairo ni mkubwa kuliko uchumi wa tz nzima?

miundo mbinu bora si ndo inayafanya maisha ya raia wa nchi yeyote duniani yawe bora?

Sasa nchi isiyo kuwa na umeme wa uhakika ,maji safi ya uhakika , elimu ya uhakika , Afya ya uhakika kama tz utasemaje raia wake wana maisha bora kuliko raia wa Misri ambao wana uhakika wa kupata mahitaji hayo niliyo yataja?

Tz kufika levo ya misri ya leo inahitaji miaka 50 mbele.
 
Back
Top Bottom