Ni kweli kwa hio data ila kuna gap ya 100bil usd kati yao factor in issue sanctions bali hio gap inakuwa haipo maana wa iran wanasanctions for almoat 40 years now,ila bado wameweza kujenga huo uchumi wa kuwa 17 largest in the world kama wangekuwa hawana sanctions labda wangekuwa mbali zaidi , swali sisi waafrica huku hatuna vikwazo mbona hatuperform japo rasilimali tunazo ??In economic front Nigeria beats Iran by far Nigeria is a quarter more GDP than Iran
Wana njengo kifupi Nigeria ni tajiri kuliko Iran kiuchumi!!
Viva nigeria
View attachment 2787140
View attachment 2787141