Nigeria ni tajiri kuliko Iran

Nigeria ni tajiri kuliko Iran

Mr Chromium

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2020
Posts
2,760
Reaction score
3,858
In economic front Nigeria beats Iran by far Nigeria is a quarter more GDP than Iran

Wana njengo kifupi Nigeria ni tajiri kuliko Iran kiuchumi!!

Viva nigeria

IMG_0345.jpg

IMG_0344.jpg
 
In economic front Nigeria beats Iran by far Nigeria is a quarter more GDP than Iran
View attachment 2787140
View attachment 2787141
Wana njengo kifupi Nigeria ni tajiri kuliko Iran kiuchumi!!!…

Viva nigeria
Nigeria ndo nchi yenye GDP kubwa Africa inapita SA Egypt Tunisia Algeria na Tanzania.......ila raia wa Nigeria wanatabika kuliko raia wote wa hizo nchi wako tayari wazame kwenye baharini ili watafute maiaha nje ya Nigeria.

Kwahiyo utajili wa nigeria hauna manifaa kwa wa Nigeria,
 
PER CAPITA ya Qatar, kuwait na Brunei ina zidi ile ya US China Britain na Germany, ila US in walfare nzuri kuipita kuwait, economic data zina maana nyingi sio kigezo cha utajiri tu........Nigeria inauchumi mkubwa kupita nchi zote lakini bora nishi Burundi the most poorest in Africa kuliko Nigeria,

Kenya ndo economic giant wa Africa mashariki kwa GDP na kwa per capita ila wa Kenya wanakimbilia Tz kupata ajira au kuishi. Iran inaweza ikawa na uchumi mdogo kwa nigeria ila maisha na maendeleo wakawapita.
 
kwaiyo maisha na maendeleo ni tofauti na uchumi
 
In economic front Nigeria beats Iran by far Nigeria is a quarter more GDP than Iran

Wana njengo kifupi Nigeria ni tajiri kuliko Iran kiuchumi!!

Viva nigeria

View attachment 2787140
View attachment 2787141
Data ni sahohi..Ila hapo kwenye "kwa ufupi" umepoteza ladha ya uzi.

Indicators za development umesoma Shule?

Hebu kasome kwanza uje urekebishe hiyo kwa ufupi yako
 
Back
Top Bottom