state agent
JF-Expert Member
- Jul 1, 2019
- 1,764
- 2,511
Mwana jf unamkumbuka private Umar Bushir aliyeokota pesa katika uwanja wa KANO na kumrudishia aliyepoteza bila kuchukua hata senti Leo amalipwa mara mbili
Jeshi la anga la Nigeria limempa kiasi cha Euro 3500 na kumpandisha cheo kuwa copro baada ya kuonesha uaminifu kumbuka yeye liipa nusu ya hapo
=====
Afisa wa Jeshi la Anga la Nigeria, ACM Bashir Umar aliyerejesha mkoba aliouokota wakati akiwa kazini uliokuwa fedha sawa na Tsh. Milioni 95.2 milioni amepandishwa cheo kwa ngazo mbili.
Kufuatia hatua hiyo, sasa Umar anakuwa ni Koplo. Kwa kufuata taratibu za kawaida, ingemchukua Umar takribani miaka 10 kufikia ngazi hiyo.
Mkuu wa jeshi hilo, Saddique Abubakar alimsifu kwa uaminifu wake, na kwamba kitendo chake kimelijengea jeshi hilo jina zuri miongoni mwa wananchi.