Nigeria: Mwanajeshi aliyeokota pesa na kuzirudisha alipwa Mara mbili na amepandishwa cheo kwa ngazo mbili

Tatizo mm ni MASKINI sina ata baiskeli sjui ata nitauza nn, lakini binaadamu unaweza usimpe mtu ata sent 5 ila ukamtakia mtu mema au kumuombea afanikiwe tu basi ikawa ni bonge la Imani, na malipo ukayapata apa apa dunian kwanza
Tuanze na wewe mkuu,uza vitu vyako vyote uwagawie masikini ili uingie peponi (kiimani)
 
Tatizo mm ni MASKINI sina ata baiskeli sjui ata nitauza nn, lakini binaadamu unaweza usimpe mtu ata sent 5 ila ukamtakia mtu mema au kumuombea afanikiwe tu basi ikawa ni bonge la Imani, na malipo ukayapata apa apa dunian kwanza
ha ha ha hata hilo shati lako na suruali ni mali,uza tu mkuu; hapo ndipo ujue kuongea ni rahisi kuliko vitendo.
 
Mkuu mm sijisifu ila mm miaka kama minne nyuma nimeshaokota sim kali kinoma na nikairejesha kwa mwenyewe coz najua sio mali yangu, washkaji waliokua pembeni yangu baada ya kurejesha waliniona fala na kuanza kunilaumu sana, na juzi kama miezi mitatu nyuma niko nchi flan kuna dada flan sjui ni wakiithopia yule mdada alidondosha pochi yake wakati mm namuona nilikua niko nyuma yake basi mm sikufungua nikamuita na kumpa pochi yake ilikua imenona sana, alinishkuru sana sana sana na alinishangaa, mm imani yangu inaniambia kuwa Dunia ni mapito, kilicho changu ni changu na kisicho changu sio changu, hio ndio System yng ya life, sijisifu ila ndio nimekutolea mfano wng

Nakubaliana na wewe
 
Yap. Hongera sana mkuu. Sio watu wengine wakiokota ng'ombe wanapiga mnada.
Vifaranga wanapiga kiberiti.
 
Hahahahaha, ila kenyatta anastahili sifa sana coz si rahisi Marais ata wa nje ya Africa kufanya alichofanya kwa Tz
 
Back
Top Bottom