Nigeria: Mwanajeshi aliyeokota pesa na kuzirudisha alipwa Mara mbili na amepandishwa cheo kwa ngazo mbili

uyo jamaa ninamjua alitoka kupiga hizo hapo
IMG_20190726_113334_120.jpeg
 
Honestly alifanya jambo jema sana kulingana na kazi yake ila kwa mtazamo wangu, angejinyamazia tu halafu baada ya muda fulani angejifungulia biashara mdogo mdogo ili asishitukiwe.

God bless him
Ndo unavyo waza wewe? Mwenzako anawaza mbali na pia kafundishwa uzalendo. Pesa sio kila kitu katika Maisha mkuu sema ndo tumeaminishwa hivyo.
 
Tatizo mkuu hela ya haram ni haram na asingebariki ata kama angefungua biashara flan
Honestly alifanya jambo jema sana kulingana na kazi yake ila kwa mtazamo wangu, angejinyamazia tu halafu baada ya muda fulani angejifungulia biashara mdogo mdogo ili asishitukiwe.

God bless him
 
Sio wote wako kama wewe mkuu.
Kama hupendi pesa vaa malailoni utembee njiani,nguo ulizovaa ni pesa,elimu uliyosoma ni pesa,unapoenda kutibiwa ni pesa...mambo mengine tuwe wakweli tu;unasoma ili upate elimu kubwa uajiriwe ulipwe pesa,kwa nini pesa,tunatafuta vyeo ili tupate pesa
 
Back
Top Bottom