Nigeria: Mwanajeshi aliyeokota pesa na kuzirudisha alipwa Mara mbili na amepandishwa cheo kwa ngazo mbili

state agent

JF-Expert Member
Jul 1, 2019
1,764
2,511
Mwana jf unamkumbuka private Umar Bushir aliyeokota pesa katika uwanja wa KANO na kumrudishia aliyepoteza bila kuchukua hata senti Leo amalipwa mara mbili

Jeshi la anga la Nigeria limempa kiasi cha Euro 3500 na kumpandisha cheo kuwa copro baada ya kuonesha uaminifu kumbuka yeye liipa nusu ya hapo

=====

Afisa wa Jeshi la Anga la Nigeria, ACM Bashir Umar aliyerejesha mkoba aliouokota wakati akiwa kazini uliokuwa fedha sawa na Tsh. Milioni 95.2 milioni amepandishwa cheo kwa ngazo mbili.

Kufuatia hatua hiyo, sasa Umar anakuwa ni Koplo. Kwa kufuata taratibu za kawaida, ingemchukua Umar takribani miaka 10 kufikia ngazi hiyo.

Mkuu wa jeshi hilo, Saddique Abubakar alimsifu kwa uaminifu wake, na kwamba kitendo chake kimelijengea jeshi hilo jina zuri miongoni mwa wananchi.
FB_IMG_1564154563195.jpeg
 
Mwana jf unamkumbuka private Umar Bushir aliyeokota pesa katika uwanja wa KANO na kumrudishia aliyepoteza bila kuchukua hata senti Leo amalipwa mara mbili

Jeshi la anga la Nigeria limempa kiasi cha Euro 3500 na kumpandisha cheo kuwa copro baada ya kuonesha uaminifu kumbuka yeye liipa nusu ya hapoView attachment 1163499
Hata ingekuwa kenya uhuru kenyatta angefanya hivyo hivyo lakini ingekuwa CCM ya Tanzania angeondoka na matusi juu
 
Afisa wa Jeshi la Anga la Nigeria, ACM Bashir Umar aliyerejesha mkoba aliouokota wakati akiwa kazini uliokuwa fedha sawa na Tsh. Milioni 95.2 milioni amepandishwa cheo kwa ngazo mbili.

Kufuatia hatua hiyo, sasa Umar anakuwa ni Koplo. Kwa kufuata taratibu za kawaida, ingemchukua Umar takribani miaka 10 kufikia ngazi hiyo.

Mkuu wa jeshi hilo, Saddique Abubakar alimsifu kwa uaminifu wake, na kwamba kitendo chake kimelijengea jeshi hilo jina zuri miongoni mwa wananchi.
 
Ingekua hapa kwetu angetafutwa mwenye hizo hela angepewa kesi ya kutakatisha pesa mwaka 2000 na hapo hapo zingekua zimepatikana na kurushwa live wakati wa makabidhiano na askari angekua mlinda kura hadi mwisho wa maisha yake
 
Honestly alifanya jambo jema sana kulingana na kazi yake ila kwa mtazamo wangu, angejinyamazia tu halafu baada ya muda fulani angejifungulia biashara mdogo mdogo ili asishitukiwe.

God bless him

Mkuu huwezi jua ni fursa kiasi gani zitamfungukia kwa kitendo hicho cha uaminifu alichokionyesha, huwezi jua ilikuwa ni test kwake vitu vinaafanya kazi kwa namna tofauti sana duniani..all in all mimi nisingerudisha
 
Afisa wa Jeshi la Anga la Nigeria, ACM Bashir Umar aliyerejesha mkoba aliouokota wakati akiwa kazini uliokuwa fedha sawa na Tsh. Milioni 95.2 milioni amepandishwa cheo kwa ngazo mbili.

Kufuatia hatua hiyo, sasa Umar anakuwa ni Koplo. Kwa kufuata taratibu za kawaida, ingemchukua Umar takribani miaka 10 kufikia ngazi hiyo.

Mkuu wa jeshi hilo, Saddique Abubakar alimsifu kwa uaminifu wake, na kwamba kitendo chake kimelijengea jeshi hilo jina zuri miongoni mwa wananchi.
Tena wangekaa vibaya, na kazi yao ningekabidhi niendelee na maisha mengine.....M.95!!!!!!
 
Mkuu huwezi jua ni fursa kiasi gani zitamfungukia kwa kitendo hicho cha uaminifu alichokionyesha, huwezi jua ilikuwa ni test kwake vitu vinaafanya kazi kwa namna tofauti sana duniani..all in all mimi nisingerudisha
Hahaha, nilijua utamalizia kwa kumuunga mkono kwa vitendo.

Najua kuna baraka ktk kila wema lkn Mungu hutoa riziki kwa namna yake. Huenda hiyo ilikuwa ndo baraka yake.
 
Mkuu huwezi jua ni fursa kiasi gani zitamfungukia kwa kitendo hicho cha uaminifu alichokionyesha, huwezi jua ilikuwa ni test kwake vitu vinaafanya kazi kwa namna tofauti sana duniani..all in all mimi nisingerudisha
Hahaa, mkuu ulianza vizuri ila mwishoni hapo nimecheka, ila mwenyewe najaribu kuimagine hapa akiii, nisingerudisha pia Mil ngapii aah Mungu angenisamehe tuu
 
Back
Top Bottom