Nigeria becomes Africa's biggest economy

Nigeria becomes Africa's biggest economy

Wiki hii Nchi ya Nigeria imeipiku rasmi Afrika Kusini kwa Ukubwa wa Uchumi, yaani sasa hivi Nigeria ndio Nchi yenye Uchumi mkubwa kuliko zote Afrika!

mkuu,maneno matupu hayavunji mfupa.Naomba utoe details....export,imports,investments,financial sector,welfare,industrialization snd many more. walau tupe source basi ulikotoa hii habari tujiridhishe
 
Haya yote yanatoka na moja ya sabubu kubwa ya wingi wa watu ambayo inafikia idadi ya zaidi ya watu million 160
Pia sekta ya mawasiliano nayo imekuwa chachu ya uchumi kukuwa bila kusahau natural resource especially mafuta
 
JF watu wanajifanya maGreat Thinker wizi mtupu.
Tuskie mwezi ujao! wewe sasa ulikuwa na kipi kikubwa hadi kujua mwanzo?
Ukitoa habari andika source bwana hii habari imezungumzwa na bbcswahili hivi saa 3 usiku Star Tv.
Punguza kujiproud

Source ni Times Online ya South Africa.
 
Pesa za Nigeria haziko kwa Wananchi na ndiyo maana huoni maendeleo. Barabara bado mbovu, umeme wa shida na ndiyo maana huwezi kusikia mtu anaenda Nigeria lakini South hata wa ethiopia wanashikwa kila siku Tanzania wakienda south. Nigeria is hakuna kitu pesa zote zipo Swiss

Hivyo vitu umevitoa kichwani au unazo data za uhakika?
 
Badhii ya ukokotojia wa data za africa umekuwa unazua maswali.Kuna article nilisoma walikuwa wana question ukokotoaji wa Ghana, income per capita ilishoot over night bila maelezo ya kudhirisha.
 
Kazi kupoteza muda kujadili ya wenzenu!

Hadithi hizo zote zinatufundisha nini?
 
Zuma ni mwizi na mla rushwa kama Kikwete lazima uchumi uporomoke
 
Kuna ile nyingine ya uchumi wa bongo kuwa umefanya nini sijui..
 
Hiyo imetokea wiki hii, yaani hizi ni Habari za jikoni kabisa, nafikiri wengi wenu labda mtaanza kuzisikia kuanzia mwezi ujao au zaidi!
Kumbe ni ya kufikirika yaani ya kesho muachie MUNGU huwezijua BOKO HARAMU km wataipumzisha Nigeria
Pili soko la Filamu za kiNigeria si suluhisho la utajiri kabisa labda waringie mafuta
Kuna jamaa hapa augustino Moshi ndio kaelezea ukweli hebu kijakazi wa II msome kwa kituo
Nimeona habari hii kwenye BBC World News jana. Ila imesemwa kwamba baada ya huo ukokotoaji mpya wa ukubwa wa uchumi wa Nigeria, inatarajiwa kwamba uchumi huo utakuwa mkubwa kuliko wa Afrika ya Kusini.
Kikubwa kitakachowekwa kwenye huu ukokotoaji mpya ni
informal sector ya Nigeria (ambayo ni kubwa sana), na sekta ya filamu.
Vitu hivi havikuwa vimejumuishwa kwenye ukokotoaji wa GDP ya Nigeria.

Angalizo: hii haimaanishi kwamba per capita income ya Nigeria imepiku ile ya Afrika ya Kusini. Nigeria itakuwa na uchumi mkubwa kuliko Afrika ya Kusini lakini Wanaigeria hawatakuwa matajiri kuliko watu wa Afrika ya Kusini.

Angalizo la pili: kuna mmoja hapa kashangaa kwamba kasi ya kukua kwa uchumi wa Nigeria itapungua toka 7% hadi 4%. Haishangazi, kwani base ya hizo percentages imekuwa kubwa sasa. 4% of a number can be the same amount as 7% of a smaller number.
 
Last edited by a moderator:
sasa mbona ukasubiri BBC ndio ukaibuka? acha uzuzu wewe, tatizo hapa wajanja wengi sanasana utaonekana mjinga

Wewe usiwe takataka No Idea is original aliyekwambia kwamba nimepata huko unakodhani wewe ni nani? Ndio kuna mahali nimepata lkn sio huko sijui pbc unakokudhania wewe!
 
6 April 2014 Last updated at 14:51 GMT
Nigeria becomes Africa's biggest economy

_74006103_73959445.jpg

The mobile phone industry is now massive in Nigeria - 25 years ago, it did not exist Continue reading the main story

Nigeria - Troubled Giant




Nigeria has "rebased" its gross domestic product (GDP) data, which has pushed it above South Africa as the continent's biggest economy.
Nigerian GDP now includes previously uncounted industries like telecoms, information technology, music, online sales, airlines, and film production.
GDP for 2013 totalled 80.3 trillion naira (£307.6bn: $509.9bn), the Nigerian statistics office said.
That compares with South Africa's GDP of $370.3bn at the end of 2013.
'Changes nothing' However, some economists point out that Nigeria's economic output is underperforming because at 170 million people, its population is three times larger than South Africa's.
On a per-capita basis, South Africa's GDP numbers are three times larger than Nigeria's.
Continue reading the main story "Start Quote

Economies are dynamic things; they grow, they shrink, they add new sectors and technologies and people's behaviours change"


And Nigerian financial analyst Bismarck Rewane called the revisions "a vanity".
He added: "The Nigerian population is not better off tomorrow because of that announcement. It doesn't put more money in the bank, more food in their stomach. It changes nothing."
Rebasing is carried out so that a nation's GDP statistics give the most up-to-date picture of an economy as possible.
Most countries do it at least every three years or so, but Nigeria had not updated the components in its GDP base year since 1990.
Then, the country had one telecoms operator with around 300,000 phone lines. Now it has a whole mobile phone industry with tens of millions of subscribers.
Likewise, 24 years ago there was only one airline, and now there are many.
International aid donors are keen for more African countries to undertake this process regularly because it enables them to make better decisions when it comes to aid.


BBC News - Nigeria becomes Africa's biggest economy
 
But on a per-capita basis is still low and that's what matters most.
 
Even at $3000 per capita, it is not good enough. Inequality is very high. Few Super rich oil barons, pastors and politicians with jets & luxurious wines and too many people in poverty. Revenue sharing of 44% to "states" barely reach the people.
 
Wakati tized tunafikiria kuanza upya katika kuchagua aina ya serikali nanamna ya kujitawala.

Nigeria has moved to be the largest economy by GDP size in Africa and has moved to be the 26th largest economy in the world," .SA is the second. "On a per capita basis, Nigeria is number 121 in the world."
With 170 million people, Nigeria is about three times the size of South Africa.

calculations taking into account a range of new sectors and industries that were negligible or non-existent in 1990.
They include the mobile telephones market -- Africa's largest -- music and the hugely popular local film industry(Nollywood).

Nigeria becomes Africa's biggest economy


 
Kudos Nigeria, but has anything changed for the masses?
 
Juzi juzi Kenya ilionesha makucha yake ya umwamba wa uchumi pale ilinunua Boeng 787 dreamliner. NIgeria leo katika vichwa vya habari vingi ktk televisheni inatajwa kuwa ni Economic Giant la africa. Ivyory Cost mwezi uliopita imetamba kiuchumi kwa kuonesha barabara lake la kifahari la kilomita 700 la kupisha namagari juu kwa juu kigorofa kama yalivyo mabarabara ya nguvu marekani na pale rRme Italia. wakati seriklai yetu ya tanzania ndio kwanza inapigania kuwepo kura ya uwazi katika kupata KATIBA mpya!

Hivi kwa nini serikali yetu haina wivu wa maendeleo? hata Botswana nayo imetupita vibaya sana .
Tufanye nini ili kuwenda mwendo wa kasi kiasi ambacho tusijikute tupo nyuma mno kiuchumi?
 
Back
Top Bottom