nifunzeni

nifunzeni

lizy lizy

Member
Joined
Aug 29, 2019
Posts
31
Reaction score
19
wakuu naomba mnipe darasa jinsi ya 'kurecover' msg au picha nilizofuta kwenye simu yangu kwa muda mrefu bila kutumia computer.
 
bila kutumia computer kwanza kabisa simu yako iwe inatumia Android Os PILI simu yako inatakiwa iwe rooted baada ya kufanya yote ayo mawili ingia play store kuna app nyingi tu zinaweza kufanya kazi unaitaji
 
Back
Top Bottom