Nifundisheni Kumpenda

Nifundisheni Kumpenda

Mbona unapanic???
Cool down bro
Here is Jf where we dare to talk openly

Don't take everything so seriously
Mengine yanaweza kuwa chai

Relax
What's jf by then..?? You are old enough to share out yr naked publicly.
 
Omba mungu sana, kwani roho isiyo na upendo mara nyingi huwa ni roho za KIKAHABA,maana huwa hazina uhifadhi wala memory ya aliyepita punde,SALI SANA HILO LIKUTOKE.
 
What is love??Je ni hisia za kwichi kwichi na mtu, je ni kumjali mtu, je ni kumuwaza mtu kila wakati, je ni kumuheshimu mtu....
Hapo nyuma mababu huko watu walikua wanaletewa mke , anachaguliwa mke...anamchukua hapohapo ndoa inafungwa..watu wanakaa mpaka uzeeni,je hawa wazee wa zamani walikua tofauti na sisi??
Nafikiri ni jinsi tunavyotofautiana tafsiri ya kupenda....
Watu wenye wake au waume wanaelewa...na wengi utakuta wanasema huyu hata sikutarajia tuoane lkn tumeoana.....na tunapendana....au unakuta jamaa kavuruga wadada huko lkn anaekuja kumuoa anakua mtu wa design tofauti mpaka kila mtu anashangaa...
My Comments:
Kama hii story ni ya kweli basi inawezekana akili ya dada bado haijapevuka na kuweza kuelewa na kutofautisha haya mambo
Dada hajui tofauti ya upendo na INFATUATIONS
Dada inawezekana amezaa ndio lkn bado akili yake haijawa tayari kwa ajili ya ndoa...
Huyu mkaka nae awe makini....wakati mwingine AKILI INABIDI ITUMIKE ZAIDI KULIKO HISIA....
 
JIPENDE WEWE KWANZA THEN BAADA YA KUJIPENDA WEWE TUMIA NJIA HIO ULIOJIPENDA WEWE KUMPENDA MWENZAKO, AITHA AWE NDUGU, RAFIKI, JIRANI, MKE AU MPENZI WAKO.
 
Back
Top Bottom