Nifate taratibu zipi kuwa licenced Electrical Contractor?

Intelsat

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
323
532
Wakuu,

Mimi ni mhitimu wa ngazi ya diploma katika vyuo vya ufundi nimesoma Electrical Engineering natamani sana kufanya kazi binafsi.

Sasa je nifate taratibu zipi au vigezo vipi kupata Ukandarasi(Contractor) na kutambulika na mashirika ya umma kama TANESCO?
 
Nafikiri ungeajiriwa kwanza ndio uanze kujiajiri.
Utapata uzoefu wa kazi na network.
 
Back
Top Bottom