Nifanyie nini hii hela

Nifanyie nini hii hela

golden pride

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2014
Posts
847
Reaction score
435
Wakuu heshima zenu

Msaada wenu WA mawazo, Nina 2.5m, ambayo sijui nifanyeje, nahisi nitaitumia bila mpango.

Niiwekezeje, Ila isiwe Kiwanja, wala kuanza ujenzi, Ila irudishe chochote

Asanteni
 
Kama hukuwa na wazo usikurupuke ni bora uiwekeze kwenye ardhi ukipata wazo la uhakika utauza ardhi ufanyie kazi wazo
 
kama bado huna wazo, nenda kwenye stock market nunua dola, baada ya muda flani kaziuze(shillingi yetu haishuki tu bali inaserereka kwa kiwango cha SGR)..baada ya muda ukiuza utapata faida na pia utakuwa ushapata wazo nn ufaye...
 
Andika kwenye search hapo juu,
Mawazo ya biashara kwa mtaji mdogo..

Kisha ujichagulie kulingana na muda,mazingira na ujuzi wako
 
[QUOTEKwa sasa a-maisha, post: 26325869, member: 397053"]Kama hukuwa na wazo usikurupuke ni bora uiwekeze kwenye ardhi ukipata wazo la uhakika utauza ardhi ufanyie kazi wazo[/QUOTE]
Ardhi kwa sasa wateja WA kutafuta, nikiwa na shida itanisumbua, naweza hata kupata hasara
 
Back
Top Bottom