Nifanyeje

Jitahidi uendelee kukomaa tu ndugu yangu ukimfuata sasa yeye ndo atakwambia hakutaki na utakachokuwa umefanya ni kujidhalilisha tu. Mi nikipiga demu chini kwanza nikimkumbuka tu Navuta negative memories zake alafu nazijumlisha pamoja zinakuwa ni Lundo la maovu. Alafu najiuliza kweli ninataka niyarudie haya...............?
 
kijana,take ur tym na kitu kinachonisaidia mimi ninapoachana na girlfriend kumsahau ni ku imagine kuwa aliyekuwa anacheat nae alikuwa na vvu,huwa nahisi nguvu ile ya kutangaza kuachana sio natural,ni power flan ambayo hutukinga na matatizo.
 
+++++ Mkuu achana nae wewe tulia fanya mambo yako kama ni kazi au masomo ji keep busy kuendelea kumlilia unampandisha chati na anazidi kukudharau na kukuletea nyodo, utamsahau tu na mambo yatakua poa we potezea usimuwaze sana wala usijihangaishe kumtafuta
 
Kaka mimi ni mwanamke na nilisha tokewa na kisanga km hicho.
niliposema naacha jamaa hakuamini hv sasa nala bata kwa kwenda mbele.


HUYO TUPA KULEEEEEEEEEE!
 
hakuna kitu mbaya kama dharau,kama kakwambia wanaume wengi haoni umuhimu wako...tupa kule anza maisha,ukirudi atakuona huna mbio so dharau itakuwa maradufu...
 
Jitahidi uendelee kukomaa tu ndugu yangu ukimfuata sasa yeye ndo atakwambia hakutaki na utakachokuwa umefanya ni kujidhalilisha tu. Mi nikipiga demu chini kwanza nikimkumbuka tu Navuta negative memories zake alafu nazijumlisha pamoja zinakuwa ni Lundo la maovu. Alafu najiuliza kweli ninataka niyarudie haya...............?

daah hii njia noma yani nimetest tu najisika swali kabisa na maisha mapya nimeyaanza vizuri ubarikiwe sanaaa
 
Asante sana ndugu zangu ushauri wenu umenisaidia sanaa sina cha kuwalipa lakini nawaombea kwa mungu maisha mema na yenye baraka Amen....
 
Jamani nilikuwa na mchumba wangu siku si nyingi zilizo pita lakini siku zilivyo endelea mbele nikaja kugundua sio mwaminifu kwangu nikimuuliza swala lolote lile anakuwa mkali na kuniambia eti nisimchangaye kwani kuna wanaume wangapi leo nika jitutumua na kwumwambia kuanzia leo tuachane akaitikia kwa upole nika ondoka lakini roho inaniuma na mimi nachotaka ni kumsahau na kuchukulia kitu cha kawaida na shidwa nifanyeje kupunguza hizi stress msaada jamani kaka zangu na dada zangu?
Tafuta mwenye pesa poor men are insecure always
 
mmezoea kubembelezwa, kina dada sasa mchozi basi, mtu akibeep unaitikia ameen.

No more tears ladies, wanaume wamejaa wanatafuta wakufanya nao mahusiano.

Unamuongelea huyu kicheche na ndiyo unamlinganisha na kina dada wote hahahahahaha. Kama wewe uko kama huyu kicheche pole zako. FYI kinadada wanalia sana tu na tena wanaomba misamaha kwa kwenda mbele. Mimi kuna rafiki zangu wanaliliwa na wanawake zaidi ya mmoja.
 
Duh kumbe wazinzi mpo weng kiasi hiki? mmmh wahubiri 2na kazi kwel kweli. Fahamu neno hili Yesu ni njia kweli na uzima achen zinaa na mwamini sasa! Dalili na majira hayo yana ashiria mwisho umekaribia sana. Jiponyen nafsi wakati neema ingalipo
 
Na pia epuka kumeet nae mara kwa mara utastua hisia za kimahaba. Utakapompata mwingine huyo ndo kimoja kama dampo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom