nimepapa schoraship kwenda kusoma UK ya nchi miezi 5, lakini nimechumbiwa na mpango wa ndoa umeshaanza. mwanaume amenikataza nisiondoke. lakini harusi siandai mimi ni wazazi na mda wa harusi nitakuwa nimesharudi tanzania.
huyu mwanaume amesema nikiondoka ataniacha. lakini masomo haya nikiyapata yatatunufaisha sisi sote. tena ni nafasi pekee yaani golden chance, haijirudii tena nikiikosa. hebu nisaidie mawazo wanajukwaa.

wanaume wa hivyo tunayaita madume ya mbwa!aisee mimi ningekuja mwonyesha visa siku yakuondoka tu akitaka aniache akitaka anisubiri umenikuta na elimu nasoma sasa wewe unipangie nini? hebu nenda huko lol jinga kabisa hiloHahaha kuna wanaume wengine ni wajinga kuliko ujinga wenyewe...
We bidada nenda zako kafanye hiyo workshop/training or short course...
Kama kweli ana mpango wa kukuacha sasa kisa elimu, basi mpango kama huo unaweza kuibuka hata ndoani kwa sababu nyingine tu...