Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
Mumtaje nani zaidi yangu?au mnataka kuniambia charty alichepuka?
Au ndio mbinu zenu za kutugombanisha?acha hizo Honey Faith
Raha penzi bana penda...pale unapopendwa...kiss me..I wl kiss u back....siyo wengine wanaleta mapenzii yakufikirika...bwahahaha I need a fresh shiiiit...yes I got it baby frm yah....!ua mine am urz ....lingine unalo????

Kibo10 wa mie...kwanini siri za ndanii unaziweka hadharanii
Wife unanichepukia hivi hivi kweli? I can't beleave.
Weupe wa penzi lako ni kama mwezi angani.Ucheshi na mahaba yako nifananishe na nini? Kupata mfano wako hatotokea mtu wa kufananisha na wewe amini. Elewa mimi ni wako sikuachi asilani charty mpenzi!
Aahww mahaba nlipue kama mabom ya nairobeee!!
Sio bundle tu bali huo ni mfano mdogo tu nikianza kutaja hapa tutakesha.
tumwambie Heaven on Earth atusaidie kukumbuka
Cnt blv what????u left me alone...kutwa upo na kaziii...kila saa uko buzy!! Ungetegemea mie ku do nini???
source: Uhuru=ccm propaganda za kushindwa
Hee kwahiyo mie ndo ushantema ee....
charity kanifanyia jambo kumbukumbu zimekua blocked zinaniambia nijaribu tena baadae
hivi tuko chit chat au MMU