edwayne
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 8,878
- 9,677
Basi kama mtu mzima umeshahitimu kuwangaUnafikiri kila mtu umelingana nae?
Basi kama mtu mzima umeshahitimu kuwangaUnafikiri kila mtu umelingana nae?
Anzisha group la WhatsApp la mtaa unapita kila nyumba unawaungaTangu nimehamia hapa mtaani ni takribani mwaka sasa umekatika. Mtaa ninaoishi ni nje kidogo ya mji ambapo watu wamejenga nyumba zao wamezungusha fensi na mageti. Pia wengi (pamoja na mimi) ni wafanyakazi ambapo mara nyingi ni watu wa kutoka asubuhi na kirudi jioni wakiwa ndani ya magari yao.
Bila shaka huwajui watu vizuri siku ukiwajua utakuja kufuta ulichoandika.Ukweli ni kwamba watu wengi tunaish maisha ya kivyetu vyetu mitaani ila ukweli halisi hatupendi hayo maisha, tunapenda kufahamiana na kubadirishana mawazo...
Jifanye kauzu then likupate tatzo ndio utajua umuhim wa kujuana na majirani na viongoz wa mtaa...
Nimeandika kiswahili chepesi sana ila umeshindwa kuelewa.Bila shaka huwajui watu vizuri siku ukiwajua utakuja kufuta ulichoandika.
Hasa ukikutana na waswahili.
Na sio kweli kwamba watu hawapendi kuishi maisha ya kivyao.
Watu wanatofautiana na kuna wengine watakuona kero kuingilia maisha yao.
Matatizo yapo na yataendelea kuwepo na huwezi kuyakimbia kwa kutafuta majirani.
Unajuaje wewe sio ambaye umeshindwa kuelewa nilichoandika hivyo imepelekea wewe kudhani mimi ndio sijaelewa?Nimeandika kiswahili chepesi sana ila umeshindwa kuelewa.
Yes muhimu hata siku moja moja aende kununua nyanya za mfungu au kilo ya mchele au unga kuonyesha kuwapa support....Kuishi maisha wanayoishi wao ili wawe wamoja kusiwe na gap kubwa kimtaani.
Unaishi na familia yenye watoto?Mi napenda sana kujitenga sema ni vile maisha yananilazimisha kuchangamana.Make kama External imejaa movie na series naeza nsitoke ndani kabisa mtu akadhani nimesafiri.Uzuri najuwa kupika misosi yote.