Kutana na mkeo katika siku ya Ovulation. Kwa wanawake wenye mzunguko wa siku 28 siku yao ya kutunga mimba (ovulation) ni siku ya 14. Mbegu yenye uwezo wa kusababisha kutunga kwa mtoto wa kiume (Y) ina kasi kubwa kuelekea kwenye ovary kulinganisha na X ya mtoto wa kike hivyo kwa siku ya 14 utakuwa na uhakika kwamba Y itafikia Yai la kike mapema kuliko X. Y pia hufa haraka ukilinganisha na X
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.