Sasa si uiuze tu mkuu ufurahi na roho yako?Nyumba ipo
Mkuu namimi mwingine pia sina gari"... then nimeishia darasa la 3bWewe tu humu ndo umekiri huna gari ila si wenzio wote humu
1. Tuna mavuogue
2. Tuna majumba
3. Tunatumia simu kali mno
4. Tuna madigree yetu mzee
Una uhitaji wa gari, au kwa kuwa kama unavyosema 'dunia ya sasa inachukulia gari kama nyenzo na sio asana!Mimi ni mjasiriamali wa kiwango cha chini.Kwa kuwa dunia ya sasa inachukulia gari kama Nyenzo na sio asana.
Naomba mbinu za kuniwezesha na mimi kumiliki gari.
Wenzangu mnaomiliki magari mlifanyaje mpaka mkaweza kumiliki gari?
Karibuni
Ndio mkuu,ni ya urithi![]()
Utakaa mbele yangu?Babu naomba lift
Hayo mambo ya kukaguana ndio sitaki hata kuyasikia na lift sitaki tena basi
Utakaa mbele yangu?
Basi Shunie....lol
Basi ntakupa upendacho....ntakupa umiliki kabisa sio lift tena!
Ufanyeje ili uweze kununua gari..!!??Mimi ni mjasiriamali wa kiwango cha chini.Kwa kuwa dunia ya sasa inachukulia gari kama Nyenzo na sio asana.
Naomba mbinu za kuniwezesha na mimi kumiliki gari.
Wenzangu mnaomiliki magari mlifanyaje mpaka mkaweza kumiliki gari?
Karibuni
Si bodaboda...Eiiish kukaaje tena we babu jamani
Gari unaweza ukapata kwa 4M ,je unaweza ukajenga nyumba kwa hela hiyo?Kabla ya gari Nyumba unayo??
Ndo inategemea na Nyumba unayotakaGari unaweza ukapata kwa 4M ,je unaweza ukajenga nyumba kwa hela hiyo?
This is jamiiforumWewe tu humu ndo umekiri huna gari ila si wenzio wote humu
1. Tuna mavuogue
2. Tuna majumba
3. Tunatumia simu kali mno
4. Tuna madigree yetu mzee

Nyumba ya nini??Kabla ya gari Nyumba unayo??
Hili nalo swali?Nyumba ya nini??