Nifanyeje niweze kununua gari?

Nifanyeje niweze kununua gari?

Magari mengi ni ya mkopo ila wewe usikope nakushauri jichange tafuta gari unayopenda piga hesabu gharama zake kwa miaka mitatu kisha fungua fixed akaunti uwe najiwekea kiasi cha hela ambacho ndani ya miaka 3 utanunua hiyo gari
Note: gharama hizo uweke na emergency kama 1 milioni mana zinabadilika kwa kuongezeka mara nyingi
 
Wewe tu humu ndo umekiri huna gari ila si wenzio wote humu
1. Tuna mavuogue
2. Tuna majumba
3. Tunatumia simu kali mno
4. Tuna madigree yetu mzee
Mbona mm Sina gari Wala hivyo vyoote ulivyosema .na najikubali
 
Mimi ni mjasiriamali wa kiwango cha chini.Kwa kuwa dunia ya sasa inachukulia gari kama Nyenzo na sio asana.
Naomba mbinu za kuniwezesha na mimi kumiliki gari.
Wenzangu mnaomiliki magari mlifanyaje mpaka mkaweza kumiliki gari?
Karibuni
Anzia kumiliki baiskeli baada ya mwaka anza kuwa unanunua tairi moja moja la gari baadae polepole utamiliki gari
 
QUOTE="Shunie, post: 28547272, member: 381023"] Tunaanzia chini kwanza jamani[/QUOTE]
Me staki chinii nataka katikati😂😂oh yeah
 
Babu naomba lift
Ukubali pia Babu akukague....sio tuu lift....hujui lift peke yake inamchakaza Babu,Babu anatakiwa kuendelea kuwa kijana kwa Kufanya ukaguzi wa kina kwako
Cc @Aspirin
 
Hayo mambo ya kukaguana ndio sitaki hata kuyasikia na lift sitaki tena basi
Ukubali pia Babu akukague....sio tuu lift....hujui lift peke yake inamchakaza Babu,Babu anatakiwa kuendelea kuwa kijana kwa Kufanya ukaguzi wa kina kwako
Cc @Aspirin
 
Back
Top Bottom