Uza hiyo nyumba ununue gari mkuuNdio mkuu,ni ya urithi![]()
Uza hiyo nyumba ununue gari mkuuNdio mkuu,ni ya urithi![]()
Sawa,subiri zitimie ununue.Ndio natafuta
Jiunge na ccmMimi ni mjasiriamali wa kiwango cha chini.Kwa kuwa dunia ya sasa inachukulia gari kama Nyenzo na sio asana.
Naomba mbinu za kuniwezesha na mimi kumiliki gari.
Wenzangu mnaomiliki magari mlifanyaje mpaka mkaweza kumiliki gari?
Karibuni

Cheza BIKOMimi ni mjasiriamali wa kiwango cha chini.Kwa kuwa dunia ya sasa inachukulia gari kama Nyenzo na sio asana.
Naomba mbinu za kuniwezesha na mimi kumiliki gari.
Wenzangu mnaomiliki magari mlifanyaje mpaka mkaweza kumiliki gari?
Karibuni
Penye nia tu pana njia. Anza hata na kununua tairi halafu rimu ndiyo usukani. Kidogo kidogo hujaza kibaba. Au kama vipi nenda kwenye screpa mbona utapata?? Pitia sehemu za Masaki, Obay na kule Ohio st. Ukiona gari imepaki mahali hadi majani yameanza kuota chini yake, hilo ni dili. Waweza enda uliza bei ukaambiwa kuwa utapewa hela kuiondoa hapo na kwenda kuitupa.
Swali la kizushi; Wataka kumiliki gari au kadi ya gari iliyoandikwa jina lako??







avha utan mkuu na uzi wa watu
Sasa mpe mbinu naye amiliki japo kibajaji kama changu cha mkopo
Hatimaye nimekuona usisahau kunipa lift babeNgoja nikwambie kitu kimoja kwanza kama sio viwili,.kununua/kumiliki gari ni jambo moja na kulifanya gari kuwa barabarani/kuliendesha ni jambo lingine,.
Em' tafakari kwanza ww kama mjasiriamali mdogo,.
I'd yako inaonyesha unajitosheleza huko kumkichwa...ASA unashindwa hata jambo rahisi kama hiloo...
nakushauri hivii;sio hadi ununue mgari wako ndio uridhike..
Kodi gari uendeshe mwenyewe ama tafuta kazi ya uderevaaa![]()
no easy shortcuts to success; work hard![]()
Wenzangu mnaomiliki magari mlifanyaje mpaka mkaweza kumiliki gari?Karibuni
Wooiii babe wa mm huyoo mamushka wangu,.ww babe nakununulia lako,hivi ulisema aina gani vilee.!?Hatimaye nimekuona usisahau kunipa lift babe
Halafu unaajiita Tumaini The Genius?! hebu badili hiyo ID kwanza kisha njoo tena uulize hilo swali.Mimi ni mjasiriamali wa kiwango cha chini.Kwa kuwa dunia ya sasa inachukulia gari kama Nyenzo na sio asana.
Naomba mbinu za kuniwezesha na mimi kumiliki gari.
Wenzangu mnaomiliki magari mlifanyaje mpaka mkaweza kumiliki gari?
Karibuni
Wooiii babe wa mm huyoo mamushka wangu,.ww babe nakununulia lako,hivi ulisema aina gani vilee.!?
Uza nyumba nunua gari.Nyumba ipo
Self-belief and hard work will always earn you success.
Mmh,vitz hapana...mtoto mzuri kama ww na vitz wapi na wapi...chagua usafiri babe sio gariBabe unafikili mm nataka makubwa basi kavitz kananitosha ujue