Nifanyeje niweze kuipenda soka?

Nifanyeje niweze kuipenda soka?

miereka niliwacha kutizama na miaka 10yrs old ni mchezo naona wa watoto kutizama hasa sababu ndio wanamazoezi ila uongo tu hata ile mieleka ya Olympic sitizami angesema UFC sawa. Ila Yakkina undertaker sijui ah waachie watoto.

Waachie wenyewe waangalie
 
Wakuu,salaam!
Soka ni mchezo unaopendwa sana na watu wengi duniani kiasi kwamba hata afghanistan wanaamua kusitisha mapigano kwa ajili ya kuangalia mechi za kombe la dunia zinazoendelea kutimua vumbi nchini Brazil.
Lakini pamoja na hayo yote mimi nimeshawishiwa sana na wanajeshi wenzangu wanaotoka tanzania ili nishabikie timu za nchi fulani fulani kama brazil,argentina,croatia,japan,ghana,cameroon,england,france nk,lakini kila nikiangalia sichukui round usingizi hunijia hasa hizi mechi za usiku na ninaposinzia huibuliwa na makelele ya mashangilio ya wenzangu.
Lakini kama kuna live events za mieleka ya wwe huwa siwezi kutulia hata kama nimechoka kiasi gani kwa purukushani hizi za vita!
Sasa nifanyeje ili nipate desire ya mchezo huu?
Nawasilisha!

vaa mpira wa kiume lala nao,ukiamka tu yan wewe na soka soka na wewe yan utapenda mpaka chandimu
 
huwezi kujifunza kupenda kitu mtanzania.. ni either unapenda au hupendi....
mimi mwenyewe sipendi mpira, sioni sababu ya kukaa nikaangalia, updates za timu flani imeshinda inanitosha kabisa, 90minutes ningechukua kitabu niongeze concepts mpya zinisaidie katika kazi yangu..
 
Haya sasa kama hata kujua nini na nini na nani na nani ni habari kubwa.
kuna mtu mmoja hivi miaka yake kama 30 ananiuliza kombe la dunia real madrid wanacheza lini
 
Hapana c mda wote ni wa kufanya kazi wakati mwingine tunatakiwa kurelax kwan inapunguza stress ktk ubongo kwan huoni hata ktk masomo kuna likizo?.
huwezi kujifunza kupenda kitu mtanzania.. ni either unapenda au hupendi....
mimi mwenyewe sipendi mpira, sioni sababu ya kukaa nikaangalia, updates za timu flani imeshinda inanitosha kabisa, 90minutes ningechukua kitabu niongeze concepts mpya zinisaidie katika kazi yangu..
 
Inawezekana mkuu kupenda mpira, jibu tu swali hili baada ya research ya kuangalia ufund wa hawa watu. Kati ya cristian ronaldo na messi nani mkali?
wakuu,salaam!
Soka ni mchezo unaopendwa sana na watu wengi duniani kiasi kwamba hata afghanistan wanaamua kusitisha mapigano kwa ajili ya kuangalia mechi za kombe la dunia zinazoendelea kutimua vumbi nchini brazil.
Lakini pamoja na hayo yote mimi nimeshawishiwa sana na wanajeshi wenzangu wanaotoka tanzania ili nishabikie timu za nchi fulani fulani kama brazil,argentina,croatia,japan,ghana,cameroon,england,france nk,lakini kila nikiangalia sichukui round usingizi hunijia hasa hizi mechi za usiku na ninaposinzia huibuliwa na makelele ya mashangilio ya wenzangu.
Lakini kama kuna live events za mieleka ya wwe huwa siwezi kutulia hata kama nimechoka kiasi gani kwa purukushani hizi za vita!
Sasa nifanyeje ili nipate desire ya mchezo huu?
Nawasilisha!
 
Wazaramo au Wakwere utawajua kwa ushauri wao, always ni kukatisha tamaa wengine!
Na wewe utakuwa na tabia za roho mbaya kuzania watu bora ungenyamaza tu au ungempa mtu ushauri Mzuri kuliko kuchokonoa watu kwa Shari.
 
Mie napenda sana football ila wakuu tennis ni mchezo mmoja very entartaining..
 
Wakuu,salaam!
Soka ni mchezo unaopendwa sana na watu wengi duniani kiasi kwamba hata afghanistan wanaamua kusitisha mapigano kwa ajili ya kuangalia mechi za kombe la dunia zinazoendelea kutimua vumbi nchini Brazil.
Lakini pamoja na hayo yote mimi nimeshawishiwa sana na wanajeshi wenzangu wanaotoka tanzania ili nishabikie timu za nchi fulani fulani kama brazil,argentina,croatia,japan,ghana,cameroon,england,france nk,lakini kila nikiangalia sichukui round usingizi hunijia hasa hizi mechi za usiku na ninaposinzia huibuliwa na makelele ya mashangilio ya wenzangu.
Lakini kama kuna live events za mieleka ya wwe huwa siwezi kutulia hata kama nimechoka kiasi gani kwa purukushani hizi za vita!
Sasa nifanyeje ili nipate desire ya mchezo huu?
Nawasilisha!
Mkuu umeandika afganistan wamestop vita ivi mullar bado yupo asee
 
tafuta mchepuko mkali afu uwe unadanganya unaenda kwenye mpira taratbu utaanza kupenda soka mana ratba lazma iwe kichwan na matokeo pale wife anapokuulza
 
wakuu,salaam!
Soka ni mchezo unaopendwa sana na watu wengi duniani kiasi kwamba hata afghanistan wanaamua kusitisha mapigano kwa ajili ya kuangalia mechi za kombe la dunia zinazoendelea kutimua vumbi nchini brazil.
Lakini pamoja na hayo yote mimi nimeshawishiwa sana na wanajeshi wenzangu wanaotoka tanzania ili nishabikie timu za nchi fulani fulani kama brazil,argentina,croatia,japan,ghana,cameroon,england,france nk,lakini kila nikiangalia sichukui round usingizi hunijia hasa hizi mechi za usiku na ninaposinzia huibuliwa na makelele ya mashangilio ya wenzangu.
Lakini kama kuna live events za mieleka ya wwe huwa siwezi kutulia hata kama nimechoka kiasi gani kwa purukushani hizi za vita!
Sasa nifanyeje ili nipate desire ya mchezo huu?
Nawasilisha!

sikiliza mjeda mimi na suluhisho....anza ku BET. Mimi imenifanya nifuatilie hata mashindano ya mbwa.

Note: Na bet for fun sio kazi ya kila siku.
 
usihangaike na sokawe endelea na maigizo ya mieleka ya watoto ushabiki wa soka hautokei ukubwani elewa mashabiki wote wa soka tanganyika aiza walicheza sembo/chandimu au walishangilia mashindano ya umitashumita na umiseta wewe ulikua wapi? huwez sasa
 
Kuupenda mchezo ambao hata huujui hata kidogo ni kazi sana,lakini ukianza kufuatilia taratibu na kuuliza maswali pale ambapo huelewi kilichotokea basi baada ya muda utaanza kuufahamu na kuupenda. Siku moja tulikuwa tunaangalia na marafiki mechi ya league kati ya Simba na Majimaji pale Songea basi tulikaa jirani na njemba ambayo nadhani alikuwa mara ya kwanza kuhudhuria mechi ya mpira wa miguu basi akatoa akatoa comment wakati mpira unaendelea, "Hawa kwa nini wanagombania mpira mmoja? Si wangempa kila mtu mpira wake ili waache kugombania mpira mmoja.?" Jinsi alivyokatwa macho na watu waliokuwa wamekaa jirani yake alijua kabofoa. Kila la heri katika jitihada zako za kuupenda mpira.

Nimependa ulivyoanza na mfano kutoka Soka la nyumbani ambalo ndilo soka hasa kwa maana tunaweza kushiriki na kupata sura halisi ya mchezo. Wengine wote wamekuja kwa mtazamo wa soka katika televisheni, ambalo ni mwendelezo wa kunyonywa na kufanywa wafuasi wa Wazungu (na wachangiaji wa hela).
 
  • Thanks
Reactions: BAK
anza kunyoa kiduku kama Balotelli, lazma utaupenda mpira, askari wenzako watakuwa wanakuita Afande Balo
 
Nimesoma advice zenu lakini cjaona ya kunifaa,bora niendelee na entertainment zangu
 
Unaweza ukaanza kwa kucheza Games za Fifa 14, Pes 14 au Fifa street kwenye Xbox,Playstation au Pc itakupa motisha ya kuupenda mpira,,,
ni mtazamo tu...
 
huwezi kujifunza kupenda kitu mtanzania.. ni either unapenda au hupendi....
mimi mwenyewe sipendi mpira, sioni sababu ya kukaa nikaangalia, updates za timu flani imeshinda inanitosha kabisa, 90minutes ningechukua kitabu niongeze concepts mpya zinisaidie katika kazi yangu..

Kazi gani hiyo? mbona unashinda hapa JF?
 
Kwa sababu niko online muda ambao tanzania ni mchana haimaanishi niko hewani muda wote hadi wa kazi.... Naomba nikufundishe leo basi maana naona hujui, duniani tunatofautiana masaa, yaweza kua saa nane mchana kwako, kwa mwenzako saa tatu usiku, au kwa mwingine ikawa nane usiku... mtanzania we unataka kazi yangu uijue ili ufanye nini? mbona tunaingiliana privacy... we fanya ya kwako, kama huna kazi ni shida zako
 
Back
Top Bottom