Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,886
napenda pesa lakini sio saana yaani mwanaume wa kawaida tu tule tulale . unadhani wanaume wasio na kitu wametulia? heshima ni kipaji kwa mwanaume kuna mwanaume hana lolote ila hana future wala nini mnatuonea tu wanana kwamba expectation zetu zipo juu wala hatupo hivoLower your high exepection. At least to an average standard.
Pengine unakuwa na matarajio meengi. Mwanaume mwenye mapesa mengi wakati huohuo unataka wa kukupenda sana, mwenye six pak, handsome, msomi, mcha Mungu nk
poa mamyUsisahau na maombi Miss ili Mungu akufunulie mtu sahihi ambae unamtaka atakaekuja kuwa mume bora
sawa mkuuwlio tulia wapo wengi kama mim ila omba mungu
kama shida ni sura mbona wapo wazuri tu naona nipo nao bench? na anliesema sitafutwi nani soma maelezo vizuri acha dharau huna hushauri pita hiviiHivi ni kweli hata wewe unayetafutwa hupati au una sura ngumu.
Wanaume tunahangaika kwasababu ndio tuna kazi ya kutafuta.
Mimi nimeamua kuwa mpole najua mke nitapata mwaka wowote.
Sawa dada.kama shida ni sura mbona wapo wazuri tu naona nipo nao bench? na anliesema sitafutwi nani soma maelezo vizuri acha dharau huna hushauri pita hivii
fanya tu remix doktaHii topic niruhusu niifanyie remix kama Salome na diamond, pia una maswali kama yangu
unajua vigezo vyangu maana kila mtu anadai vigezoSawa dada.
Punguza vigezo utapata mume mwema.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] ni ushauri tu kama una vigezo vingi punguza utapata mume mwema,mbona waowaji wapo ila wanakosa wanawake wenye sifa za kuolewa.unajua vigezo vyangu maana kila mtu anadai vigezo
ahaha anaetaka mtu hajielewi nani? nyie ndo mnaachia watu maafaMhh,tukifanya combination inaweza ikaleta maana,hapa nilipo kila nicheki sielewi naona heri niende mahali nifurahishe Maddi