Nifanyeje nirudi chumbani kwangu?

Kwa hiyo hujui kuwa kuna ndoa zipo beyond repair?

Sent using Jamii Forums mobile app

Hatua hiyo nikama kansa, yaani tatizo ulianza kipindi kirefu na hapakuwa na mitigation mapema

Huwa nalaumu sana kuendekeza mzozo lazima kuondoa kasoro mapema..
Kushuka nakupuuza ndio msingi wa maisha marefu ya ndoa
 
Jifunze kunyenyekea Mume hanuniwi, atakama anamakosa lakini next time jishushe hutapungukiwa kitu

 
Chumba ni chako na mumeo sema tu umekisusa kwa muda...Ujasiri ulioutumia kuondoka chumbani mwako utumie huo huo kurudi chumbani mwako.
Haijalishi atakuonaje..Mkitaka kushindana mtaumia kila mtu kwa wakati wake.
Hilo ndo fungu lako.
 
Hahahaaaaaa nimecheka sana mkuu daaaahhh!!
 
Kabla ya kukupa mbinu naomba kuuliza kama wewe ni wa kaskazini
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…