Sasa huko kwenye kulipa kisasi angalia vizuri usije ukajikuta kwenye kesi ya Jinai badala ya kesi ya Madai!!Mkuu, huu uzi kama umenifungulia mimi kuna watu nawadai wananiona bwege, sasa bac nimejipa muda wa kujaribu kusamehe ila nikishindwa nataka nilipe kisasi.