Nifanyeje? Nina STRESS sana!!

Nifanyeje? Nina STRESS sana!!

Jifunze ku-accept watever situation you are having right now.. Usipende kujitenga maana itachangia wewe kufanya maamuz mabaya...

Unaweza ukamtumia mtu wako wa karibu kuzungumza nae,kuzungumza nako kunasaidia kupunguza stress.
 
Utazoea tu,wengine tushapigwa mastress mpaka tumekuwa sugu,hayo mastress yakija unayashushia na whisky,maisha yanaendelea..
 
Dah,pole sana ndugu.
Nimekusoma threads unazoleta hapa jamvini nikajua kuna kitu hakipo sawa.
Mkumbuke sana Mungu na kujenga uhusiano naye,stress zitakwisha!
Pia usisahau kufanya mazoezi na kujumuika na wenzio.
Pole sana aisee!

Ahsante sana,nitazingatia hilo.
 
How old are you?
Nani anakupenda zaidi? Mama, baba, bro or Sis? Call the person n chat with him/her a little.

Soma biblia au angalia Emmanuel TV. It works with me, when l am down!

Ahsante sana mkuu Kaunga kwa ushauri.
 
Last edited by a moderator:
Jifunze ku-accept watever situation you are having right now.. Usipende kujitenga maana itachangia wewe kufanya maamuz mabaya...

Unaweza ukamtumia mtu wako wa karibu kuzungumza nae,kuzungumza nako kunasaidia kupunguza stress.

Ahsante kwa ushauri mkuu HEART.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom