BrownRange
JF-Expert Member
- Dec 25, 2020
- 927
- 1,192
Habari,
Nifanyeje nifungue Online TV, na inaweza kugharimu kiasi gani?
Asanteni
Nifanyeje nifungue Online TV, na inaweza kugharimu kiasi gani?
Asanteni
Hardwares ni USD 1200 Garama za Leseni ingia website ya TCRA garama zake zipo online. Hardware naweza kukusaidia-TV itakuwa inapatikana Youtube,FaceBook,Insta,Tweet etcMwenye ufahamu
Nifafanulie ukisema hardware, ni vifaa vipi na vipiHardwares ni USD 1200 Garama za Leseni ingia website ya TCRA garama zake zipo online. Hardware naweza kukusaidia-TV itakuwa inapatikana Youtube,FaceBook,Insta,Tweet etc
Hicho chenye Tick Nyeusi ndo naweza kukuuziaNifafanulie ukisema hardware, ni vifaa vipi na vipi
Ndio usd 1200Hicho chenye Tick Nyeusi ndo naweza kukuuzia
View attachment 1888686
Unataka online tv or Youtube channel?? tuanzie hapo kwanzaHabari,
Nifanyeje nifungue Online TV, na inaweza kugharimu kiasi gani?
Asanteni
Kama vile Bona TV, DUMA TV,Unataka online tv or Youtube channel?? tuanzie hapo kwanza
Tayar unayo content unazotaka kuweka nikimaanisha Niche gani unataka kusimamia au ndio kwakuwa umesikia znawstoa umeamua na wewe ujiingize?Kama vile Bona TV, DUMA TV,
Mkuu we nipe muongozo, mengine niachie mimiTayar unayo content unazotaka kuweka nikimaanisha Niche gani unataka kusimamia au ndio kwakuwa umesikia znawstoa umeamua na wewe ujiingize?
Asante sana kiongozi. Muongozo wako naufanyia kaziSikia mwongozo upo hivi. Sisi ndio wataalam wa haya mambo.
Sijajua kama utakuwa unataka kwenda live kwa muda huu unao anza yaani kurusha matukio ya live kama mikutano n.k.
1.Unatakiwa uwe na PC yenye GPU nzuri
2.Uwe na Software ambayo tunaita switcher software kama vile vmix, xsplit,obs, etc
3.Uwe na capture card kama unataka quality uchukue yenye SDI na HDMI (For Live)
4.Uwe na Camera (for live)
Ila ukiwa na 1 & 2 na content ushaziandaa you are good to go kwenye social media.