Nifanyeje niache Punyeto?

Nifanyeje niache Punyeto?

Ukitoka kwa kazi jichanganye na marafiki kwa mfano hata kama huchezi kaangalie hata mpira wa ndondo, kacheze drafti na kama huchezi basi hata uwe mshabiki na kama ni weekend kuna ligi za ulaya nenda kabishane na wenzie.

Ukishindwa hayo yote basi kaa mbali na sabuni au usinunue kabisa
 
kwanza uza smartphone hiyo pili kama unaishi getho la umeme uza deki acha tv na king'amuz ila kisiwe cha dstv tatu kula kiapo na mungu enedapo ukirudia akufanye alitakalo (yan hapo kene kiapo unatoa mwenyewe ya moyon kama akutoe uume wenyewe au mikono ukirudia tena hapo ni ww mwenyew sasa) nne hii sumu ndo ya kunywea maziwa kukaa ndani peke yako haifai hta chembe

mazoez,kujichanganya na watu,kutosikiliza stori za mapenzi nk ni option tu its not necessary
 
Mpokee Yesu kristo kuwa mokozi wako, utaondokana na hiyo dhahama.


ushauri wa maana sana uhu,akizingatia,kupiga punyeto ni pepo ambalo limemvaa,na kwa nguvu zake hataweza kutoka katika kifungo hicho,bila kumpa YESU maisha yake atawale fikra zake na mwili wake,
 
Mimi sikushauri uache punyeto...utajitia stress bure kwani gharama za upatikani wa papuchi inazidi kupanda kila kukicha....ukilinganisha bei ya sabuni....hatimaye utaukaribisha umaskini....kuhusu kupungua kwa nguvu za kiume si kweli kwani watu wapo kwenye game mwaka wa 30 na bado mnara unadaka mawimbi bila shida tena katika ubora wa hali juu yaani HD.....by the way dunia ni yako na chaguo ni lako......
 
Dawa ya punyeto ni kuamua kuwa MALAYA.. we anza kutafuta mademu kwa kasi kila demu ukiona unatongoza.. Utawakuwa na rate ya kugegeda angalau mara 3 hadi 4 kwa wiki so automatically unakuwa umeacha punyeto.
 
Back
Top Bottom