Rutorial k
JF-Expert Member
- Jun 8, 2014
- 1,058
- 1,037
Wadau wajukwaa hili niko mbele yenu kuomba ushauri ni jinsi gani naweza kuachana na punyeto.
Nilianza mchezo huu nikiwa na na miaka 22 mpaka sasa ni mwaka wasaba na mpaka sasa nimeshindwa kuachana nao.
Kibaya zaidi punyeto imepunguza sana nguvu zangu za kiume, kwani kuna siku nilikutana na mchumba wangu ambae yuko mbali na mimi nikashindwa kabisa kufanya mapenzi kwani usiku kucha nilienda mara moja tu.
Ushauri wako ni muhimu.