Nakosa furaha..coz maisha yangu yamekuwa magumu baada ya wezi kunivunjia kibanda changu cha biashara ndogo ndogo na kukomba kila kitu..ikiwemo na mauzo ya siku hiyo na hela flani nilikopa ili nikuze mtaji wangu....yaani nifull majanga majanga......
wakati mgumu kiaje........Not everything can be perfect, and some days are gonna suck more than others.
You just have to give life a fair chance. Not thinking "Tomorrow is gonna be a horrible day" its hell
have fun,go out,shinda JF,watch movie na vitu ka hivo
Heaven on earth lazima utakuwa na PHD ya busara si bure
kinachokukosesha furaha kitu gani,nijibu tuendeleeWasaalamu wandugu na majamaa nipo kwenye wakati mgumu sana sasa hivi kimaisha....................kiasi kwamba najiona kama mtu aliyekosa raha maishani....najikuta muda mwingi nipo mpweke na mwenye mawazo tele......muda napenda kukaa alone...............MSAAAAAAAAAAAADA PLEAAAAAAAAAAAAASE
:confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::madgrin::madgrin:
Ndugu tuheshimiane mimi mtoto wa kiume mkuu..kama sio kwa sababu ya mapenzi jaribu kutembea tembea,usikae mahali muda mwingi mf kama uko dar unaweza kwenda beach,au shopping mails.
We una tatizo kama langu lakin mi niko mbali sana na wifi ako nahisi ni hicho kinachoninyima raha.
Nimevunjiwa kibanda changu cha biashara na wezi wameiba kila ki2kinachokukosesha furaha kitu gani,nijibu tuendelee
Asante wangu kwa ushauri wakolazima ukubaliane na hali halisi
then utakuwa happy, unless utaishia kukosa raha tu
Asante ndugu yangu wewe mwenye adabukwahiyo mauzo na hela uliyokopa vyote uliviacha gengeni..!!??
Wamekufundisha adabu.
vp au na wewe unasubilia ajira za jpm....pole ndg hauko peke yako tuko wengi...usijali sana thats lifeWasaalamu wandugu na majamaa nipo kwenye wakati mgumu sana sasa hivi kimaisha....................kiasi kwamba najiona kama mtu aliyekosa raha maishani....najikuta muda mwingi nipo mpweke na mwenye mawazo tele......muda napenda kukaa alone...............MSAAAAAAAAAAAADA PLEAAAAAAAAAAAAASE
:confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::madgrin::madgrin:
Tupo wenguWasaalamu wandugu na majamaa nipo kwenye wakati mgumu sana sasa hivi kimaisha....................kiasi kwamba najiona kama mtu aliyekosa raha maishani....najikuta muda mwingi nipo mpweke na mwenye mawazo tele......muda napenda kukaa alone...............MSAAAAAAAAAAAADA PLEAAAAAAAAAAAAASE
:confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::madgrin::madgrin:
Natumai unaendelea vizuri