Nifanyeje na mimi niwe na furaha

Nifanyeje na mimi niwe na furaha

kama sio kwa sababu ya mapenzi jaribu kutembea tembea,usikae mahali muda mwingi mf kama uko dar unaweza kwenda beach,au shopping mails.
We una tatizo kama langu lakin mi niko mbali sana na wifi ako nahisi ni hicho kinachoninyima raha.
 
Nakosa furaha..coz maisha yangu yamekuwa magumu baada ya wezi kunivunjia kibanda changu cha biashara ndogo ndogo na kukomba kila kitu..ikiwemo na mauzo ya siku hiyo na hela flani nilikopa ili nikuze mtaji wangu....yaani nifull majanga majanga......

kwahiyo mauzo na hela uliyokopa vyote uliviacha gengeni..!!??
Wamekufundisha adabu.
 
wakati mgumu kiaje........Not everything can be perfect, and some days are gonna suck more than others.

You just have to give life a fair chance. Not thinking "Tomorrow is gonna be a horrible day" its hell

have fun,go out,shinda JF,watch movie na vitu ka hivo

Heaven on earth lazima utakuwa na PHD ya busara si bure
 
lazima ukubaliane na hali halisi

then utakuwa happy, unless utaishia kukosa raha tu
 
Heaven on earth lazima utakuwa na PHD ya busara si bure

haya maisha haya ndugu yangu.nimepitia huko ko najua mambo yalivyo

I hope ur good lakin.kule mmu umenifurahishaje kwenye selection lol
 
Wasaalamu wandugu na majamaa nipo kwenye wakati mgumu sana sasa hivi kimaisha....................kiasi kwamba najiona kama mtu aliyekosa raha maishani....najikuta muda mwingi nipo mpweke na mwenye mawazo tele......muda napenda kukaa alone...............MSAAAAAAAAAAAADA PLEAAAAAAAAAAAAASE
:confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::madgrin::madgrin:
kinachokukosesha furaha kitu gani,nijibu tuendelee
 
kama sio kwa sababu ya mapenzi jaribu kutembea tembea,usikae mahali muda mwingi mf kama uko dar unaweza kwenda beach,au shopping mails.
We una tatizo kama langu lakin mi niko mbali sana na wifi ako nahisi ni hicho kinachoninyima raha.
Ndugu tuheshimiane mimi mtoto wa kiume mkuu..
 
Wasaalamu wandugu na majamaa nipo kwenye wakati mgumu sana sasa hivi kimaisha....................kiasi kwamba najiona kama mtu aliyekosa raha maishani....najikuta muda mwingi nipo mpweke na mwenye mawazo tele......muda napenda kukaa alone...............MSAAAAAAAAAAAADA PLEAAAAAAAAAAAAASE
:confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::madgrin::madgrin:
vp au na wewe unasubilia ajira za jpm....pole ndg hauko peke yako tuko wengi...usijali sana thats life
 
Mkuu jitahidi sana katika kipindi hiki usikae mwenyewe. The more isolated you are the worse your situation will be.
Jaribu kujichanganya kwenye kampani ya marafiki zako unaowaamini wa karibu au ukiweza tafuta documentary za motivations ziku lift nafsi yako. Nafsi ikiinama Mara Nyingi unakuwa mnyonge sana. Learn to speak to your self positive things amidst worse situations. Positive energy will attract positive life.
That's how life works. Soma biblia kama hutojali sana sana Mithali na zaburi.
 
Hii thread ni ya miaka mitatu iliyopita, sidhani kama bado tatizo lipo.

Ni vema kuangalia namna ya kupost kwenye thread kama hizi.
 
Wasaalamu wandugu na majamaa nipo kwenye wakati mgumu sana sasa hivi kimaisha....................kiasi kwamba najiona kama mtu aliyekosa raha maishani....najikuta muda mwingi nipo mpweke na mwenye mawazo tele......muda napenda kukaa alone...............MSAAAAAAAAAAAADA PLEAAAAAAAAAAAAASE
:confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::confused2::madgrin::madgrin:
Tupo wengu
 
Back
Top Bottom