sinyora
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 972
- 1,640
Aya hongr mkuu kwa kuionaAvatar yako naona april to june.
Aya hongr mkuu kwa kuionaAvatar yako naona april to june.
...Peopleeeeeeeeeeeeee
Natumaini nyote mu wazima wa afya. Ninawasalimu wote.
Ndugu zangu, ninakuja hapa kuomba msaada. Najua wapo watakaonibeza kwa maneno ya kashfa lakini inapaswa mtambue kuwa nina shida.
Mimi ni mwanamke mwenye mpenzi wa muda mrefu sasa miaka mitatu imepita.
Miaka miwili iliyopita mwenzangu alinipenda sana na kunijali.
Baada ya muda huo, bahati mbaya sana mpenzi wangu alikorofishana na kaka yangu ambapo kaka yangu alimwambia kuwa hatumii akili.
Chanzo cha ugomvi wao ni kutaka kunitoa mimi out wakati nikiwa mgonjwa ambapo ni mimi niliyeomba kutolewa. Kaka zangu hawajui juu ya uhusiano wetu zaidi ya urafiki wa kawaida.
Ugomvi huo mwenzangu ameuweka moyoni na kumuharibu kabisa akili yake. Kila siku tunagombana, yale mapenzi tena yamepungua na kubaki 000.5 percent.
Tulipokaa chini kuongelea hilo alinijibu kuwa yeye atasuluhisha na kila kitu kitakuwa sawa.
Tumekaa zaidi ya mwezi sasa na hali inazidi kuwa mbaya zaidi. Binafsi sitaki kusikia hata swala la kuachana nae bali nahitaji kutatua tatizo ili hizo chuki juu yangu ambazo si za msingi ziondoke kabisa.
Ameniruhusu mimi nitafute suluhu lakini sijui wapi pa kuanzia mbali na kuwapatanisha yeye na kaka zangu. Ni jambo la siku moja tu.
Mbali na hilo kipi nifanye ili aweze kurudi kuwa kama zamani? Naombeni mnisaidie wanasaikolojia mliopo humu tafadhalini sana
Naunga mkono mtambulisheMtambulishe full stopu.
Nilikuwaga najua wewe Me. Jamani muwe mnatanabaisha kama wewe ni K au M.
Majina mengine bhana nilijua ni kidume cha mbeguThe Boss please come this way
nyongeza wakishapatana nae aje kutoa barua ya posa kama anakupenda kweli ili muanze taratibu za ndoa. Mkishakubaliana hapo kila kitu kitaenda smoothJe ni hilo tu? Usikute kaka zako walishamfata kwa kisa kingine, jamaa asemi. Anyway, kwanini usimtambulishe? Kwa sababu mimi nitaongea na marafiki zake Dada yangu tofauti na shemeji yangu. Shemeji atakuwa na value fulani hivi. Ingekuwa kaka zako wanajua yeye ni nani, maybe wasinge badilishana lugha mbaya.
Huyo jamaa yako namsoma. Maana kaka(familia) zako ni fence. Mahusiano yenu ni nyumba. Kama familia ya babe wako haikupendi, hapo chomoa tu. Trust me. My mom na ndugu zake father hawapatani kivile. Naijua shida mama aliyoipataga.
Conclusion:
Fanya mpango umwambie jamaa wewe ndio uta suluhisha. Mpeleke home, waite kaka zako, waambie who he is to you. Waombe msamaa since utawaambia the whole situation. Kama kaka zako wana hekima, wataomba msamaa. Na everything will be good. Hata ingekuwa mimi, sipatani na mashemeji zangu, ningesepa kiroho safi. Maana hao ndo walinzi wenu. Kama hazipandi ujue mbele kubaya. Take my advice, build back their relationship. Introduce him as your boyfriend. Everything will be good.
-callmeGhost