Nifanyeje kuongeza Uboho?

Nafikiri hili tatizo sio la kila mtu, Ukosefu wa uboho unasababishwa na mwili kutotengeneza cells nyekundu au nyeupe ambazo ndio chagizo za uboho ambalo linasababishwa na anaemia. Hili ni tatizo sio la watu wengi, huwapata wachache sana na wakati mwingine tatizo la urithi.
 
Wakuu kwema? Nahitaji kuwa na uboho wakutosha ili tatizo la mifupa kusagana lisinipate kadiri umri unavyo kwenda, naombeni ushauri, ni vyakula gani nikila vitasaidia kuongeza uboho? Ahsanteni.
Kula makongoro na bamia kwa wingi.
 
Tafuta pesa Mzee, Achana na ishu hizo zitakupotezea muda na pesa pia.
Kati ya waliokurupuka ni wewe, hili tatizo likikupata hata muda wa kutafuta hela hutaupata. Ni tatizo ambazo unaweza kuwa umesimama magoti yakakosa nguvu ukaanguka hapo hapo na hata ukipelekwa hospitali unapewa diclofenac tu na dawa za kulainisha.
 
Bamia , nyanya chungu zile za kienyeji , pamoja na kula makanyagio (kongoro ) kwa wingi mazoezi pia muhimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…