cold water
JF-Expert Member
- Oct 6, 2021
- 323
- 1,128
Mwambie awe makini kuoa mwanamke siku hizi nikama kujifunga mkanda wa mabomu mda wote yana kulipukia bora kuendelea kukaa hivo hivo.Natamani tuishi wote Sasa nifanyeje jamani? Nina mwanaume tunafanya kazi sehemu moja yeye anaishi kwake na mimi kwangu,nitumie njia gani Ili tukae wote niliwahi kumuambia tukae wote akasema ananichunguza kama namfaa asije akanichukua tukakaa wote badae akaona simfai.tuna miezi minne ya mahusiano.naombeni njia na kwake Huwa naenda Hamna nguo ya mwanamke na hajaoa zipo nguo zake tu.na mara nyingi naenda na yeye kwangu anafika
Mimi, Mwanamke anaeonyesha kunitaka sana huyo lazima nimpige chini.Natamani tuishi wote Sasa nifanyeje jamani? Nina mwanaume tunafanya kazi sehemu moja yeye anaishi kwake na mimi kwangu,nitumie njia gani Ili tukae wote niliwahi kumuambia tukae wote akasema ananichunguza kama namfaa asije akanichukua tukakaa wote badae akaona simfai.tuna miezi minne ya mahusiano.naombeni njia na kwake Huwa naenda Hamna nguo ya mwanamke na hajaoa zipo nguo zake tu.na mara nyingi naenda na yeye kwangu anafika
Uzi ufungwe. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Acha kihere here ukihitajika utaitwa
Siku 1 ongea na shogaako ahamishe vitu vyako mchana alafu jioni ukirudi mpigie simu mwambie umeibiwa kila kitu, atakuja mtasikitika pamoja alafu utaenda kuanza kuishi naeyeye anaishi kwake na mimi kwangu,nitumie njia gani Ili tukae wote
UZI UFUNGWEAcha kihere here ukihitajika utaitwa
NakaziaAcha kihere here ukihitajika utaitwa
Sababu za kuhama kwenu kabla hujaolewa ni zipi?Natamani tuishi wote Sasa nifanyeje jamani? Nina mwanaume tunafanya kazi sehemu moja yeye anaishi kwake na mimi kwangu,nitumie njia gani Ili tukae wote niliwahi kumuambia tukae wote akasema ananichunguza kama namfaa asije akanichukua tukakaa wote badae akaona simfai.tuna miezi minne ya mahusiano.naombeni njia na kwake Huwa naenda Hamna nguo ya mwanamke na hajaoa zipo nguo zake tu.na mara nyingi naenda na yeye kwangu anafika