Wong Fei
JF-Expert Member
- Apr 13, 2016
- 4,816
- 6,455
Ya nn mkuu? Humu kila kitu ni free km anataka kubadilisha jina. A log in kweny facebook yake atumie web yaan aingie google kisha a log in kisha aende setting hapo atakutana na option.Toa consultation fee sasa.
Kwa msaada zaidi a google
1. Jinsi ya kubadilisha jina facebook kabla ya miez 6.
Kitambo sana sijaingia fb huwa inapita hata miezi 5 sijaingia na nikiiingia dk 1 tu nishamaliza na log out.