nifanyeje juu ya uyu X wangu

nifanyeje juu ya uyu X wangu

Mapenzi ya mvulana na msichana....utoto unawasumbua nyie.
 
Sijaelewa chanzo cha wewe kuumia

Kinachokuumiza ni yeye kukasirika akiona status zako,yeye kukwambia hataki upost picha za wanaume ama yeye kukwambia umuhide asione status zako?
Watoto hawa,wanaachana kwa hasira alaf wanarudiana kwa tamaaa
 
jamani hii hali inaniumiza kila nikipost picha ya mwanaume X wangu anaonesha kukasilika sana hataki nipost picha za wanaume anasema nimu hide ili asione status zangu
Bado anakupenda...kama anavumilika mrudie mjenge maisha
 
jamani hii hali inaniumiza kila nikipost picha ya mwanaume X wangu anaonesha kukasilika sana hataki nipost picha za wanaume anasema nimu hide ili asione status zangu
Muendelee kugegedana....
 
Mwambie X wako akupe mimba alafu ndio muachane nafikir itakuwa kumbukumbu nzuri sana uko mbeleni
 
Back
Top Bottom