Gai da seboga
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 532
- 1,036
Vuta bangi hutajuta!!Wasalam mabibi na mababu..
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Nimekuwa nikiteseka sana kwa kukosa usingizi usiku na ata mchana kwa muda kama mwezi naa,,, kichwa changu kimekuwa kikiandamwa na mawazo sana ya kiuchumi michongo haipo tena wala fursa yani nachezea bakora za mtaa haswa, lakini mawazo mengine yananijia japokuwa sio sana ni ya kumpoteza Baba angu mzazi mwaka huu mwezi wa tatu ukizingatia mimi ndio nilomuuguza mpaka akanifia mikononi mwangu.
Yani inafikia hatua mpaka naona hii mishipa ya fahamu huku nyuma ya kichwani ad shingon inauma sana, yani cpati usingizi ata lepe ata nikijilazimisha vipi, ata nikijilazmisha nisahau mawazo yangu lakini wapi.
Nimekuwa nikijitahidi sana aidha niangalie ata movie, najipeleka hadi kwenye mabanda ya mipira, nakaaga maskani na watu tofautitofauti lakini wapi. Najiona kama sina bahati na haya maisha, kila kukicha naona heri ya jana.
Asilimia kubwa ya mawazo ninayowaza ni namna gani nitajinasua kiuchumi nami nitusue walau nipate stara ya maisha, haya maisha yana ramani ila alomchorea masikini peni ilimgomea Njiani.
Kwa namna ya maisha nayopitia saivi nyimbo zangu kubwa ni tatu tu kwenye Playlist yangu ni kabwela ya stamina, matatizo ya harmonize pamoja na Usilie ya Christian bella.
Kuna mtu kanishauri ninunue dawa za usingizi lakini naona kama sio vizur mana nkizizoea mazima uenda zikanipa tabu baadae.
Je nifanyeje ili niweze kupata usingizi na mimi usiku??? Nimechoka kuwa team Popo.
Fanya mazoezi hautajuta mawazo yatapungua utafikiri namna ya kutoboa na utalala bila kujitambuaWasalam mabibi na mababu..

Hyo ya kukaa na watu naifanya sana lakin sijaona ikizaa matunda,,, labd nipe procedure nyngne zaid ulofanya ad unalala km mttYou are not the only one in the hole. Hata mimi nayapitia hayo unayoyapitia japo sababu ni tofauti. Nilikuwa sitamani kula wala kulala nilikuwa silali. It's nice to know I am not the only one.
Nimekuwa nikitumia antidepressants zilinisaidia ila niliogopa zinaweza kuishi na mimi siku zote hadi nilipoamua kuanza meditation. Sasa hivi ninalala kama mtoto.
I know things will get better for you soon. It won't always be like this. What you need right now is people to talk and relate to.
Tatzo la pesa ninalo kabisa mkuu, yan njia zote za utafutaji znabuma mpk connection ya waziri nilonayo haizai matunda, najiona cna bahat kla nachogusa hakiendiSometimes ugumu wa maisha ndo hufanya tusipate usingizi.
Kama unapesa sina cha kukushauri, lakini kama huna pesa tafuta pesa ukipata enjoy na family yako.
Usingizi unakuja wenyewe
Huwa ninaeleza kwa watu tofauti tofaut, na hiki ndio kimenifanya ad kuweka nayopitia hapa jfUnachokipitia sasa hivi ni shida ya kisaikolojia ambayo ikiendelea zaidi utaanza kuwa na hasira zisizo na sababu na kumchukia kila anayepita mbele yako.
Ushauri wangu, tafuta mtu unayemuamini anaweza kuwa kiongozi wa dini au rafiki. Muelezee yote unayopitia na uanvyojisikia. Hii itakusaidia kupunguza uzito na uchungu moyoni, vikiisha hivyo utalala kama kawaida.
Shukraan mkuuHilo litakuw tatizo la akili soon.. Linaitwa scheuzophreunia na litakusmbua mnooo nenda hospital onana na psychiatrist atakusaidia. Manake kwa uzoef wangu w magonjwa haya sabb zake ni kukifkirisha sana kichwa
NOTE😛unguza kusikiliza nyimbo zinazoendan n uhalisia wako zitakuzidishia mawazo.
Kama muda mwingi upo idle sio lazima ukae kijiwe ulichokizoea
Ahsaante snMsongo wa mawazo! Kukosa usingizi!
Punguza kuwaza, fanya meditation itakusaidia. Pia nyakati za usiku punguza vitu vinavyoweza kukufanya ukose usingizi kama kupita kwenye social networks.
Pia jijengee mazoea ya kufanya mazoezi mepesi ya mwili yanasaidia kupunguza msongo wa mawazo na kukosa usingizi.
Pole sana muombe Mungu akusaidie.