Nifanyeje ili niwe na furaha?

Nifanyeje ili niwe na furaha?

Mkuu hujasema chanzo cha stress zako ni nini??

Sasa kama hujasema nakushauri nunua bangi vuta liwe zoezi endelevu
Halafu urudishe mrejesho, utajionea wewe mwenyewe,
Utasikia raha muda wote utahisi kucheka cheka.
 
Mungu ndio awe nguzo yako,epuka kukaa idol, upuka kukaa pekee yako muda mwingi, chukulia changamoto in a positive ways,Fanya mazoezi,hizi zote zikidunda basi muone psychologist
Okay ahsante sana kwa ushauri wako.
 
Kwa kila jambo mtegemee Mungu, kwasbb yy ndie ajuaye yote. Pia angalia aina ya marafiki ulionao,km wanaongeza stress achana nao.
 
Kila mtu anatoa ushauri bila kuuliza/kujua chanzo cha stress, labda ana madeni,labda kaachwa,labda hana kazi au kazi inapresha sana mpaka inampa stress.....kila aina ya stress na jinsi yake ya kupunguza.
Hoja mubashara...
 
Tafuta hela tu furaha itakuja.

Sasa kama hela huna . Kazi huna. Demu au bwana huna. Wazazi maskini. Marafiki maskini au huna kabisa. We unategemea furaha itatokea wapi hapo???
 
Hello JF,

Nifanyeje ili niwe na furaha sababu nowdays nimekua sina furaha then muda mwingi nina stress nifanyeje kuondokana na hii hali.

Ushauri please!
Jipende kwanza ww, afu ndo umpende MTU mwingine sometimes tunatakiwa tuwe selfish kidogo. Ukijipenda we nwenyew uyakuwa na furaha
 
Back
Top Bottom