Desire Dizaya
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,476
- 11,673
vipiii tena[emoji15] [emoji15] [emoji15]Chukua maji tia kwenye ungo,simama kwenye mlango wa choo,halafu ,unywe.!
vipiii tena[emoji15] [emoji15] [emoji15]Chukua maji tia kwenye ungo,simama kwenye mlango wa choo,halafu ,unywe.!
Hii ndo inakuaje na maji kwenye ungo unawekaje?Chukua maji tia kwenye ungo,simama kwenye mlango wa choo,halafu ,unywe.!
mkuu orodha ya wadaiwa sugu umeangalia nayo isije ikawa source any way natania happyness is a choice and not a result 2be hppy u have 2 choose to be hppy bcz it does nt cost u anything kupanga ni kuchagua
Ndio maana in Economics tunasema human wants are unlimitedOkoka utakuwa na furaha hata kama utakuwa na changamoto ya aina gani. Hiyo hali huwapata watu wengi bila kujali muonekano wao wa nje. Huwa inatokeaje, ni kuwa wakati ukiwa unasoma shule, unatamani umalize upate cheti, ukipata cheti unatamani upate kazi, ukipata kazi unatamani kuoa/kuolewa, ukioa/kuolewa unatamani upate watoto, ukipata watoto unatamani upate maisha mazuri nyumba nk, Mungu akikupa bado unatamani upate furaha. Maana furaha ya kweli haipatikani katika hivo vitu vyote.
Thank you for your advice.Be yourself and accept what you have and who you are
Okay,ahsante.Kaa mbali na matatizo ya watu wengine, Jali matatizo/mambo yako tu.
Dunia ni tamu sana kama utaweka kando matatizo yasiyokuhusu.