Nifanyeje ili nisome biology ya advance? Msaada

Inapaswa kufanywa kama cross cutting subject/unit. Kwa specific professions kunakuwa na specific courses.

Kwa vyuoni, ni sehemu ya mtaala wa VETA, public health, epidemiology na environmental health. Nje ya tz, S.Africa na US, UK kuna digrii ya OHS ama Industrial Hygiene.

Kwa walio kazini kuna courses zinakuwa offered, usually tailor made.
Mkuu umenigusa hapo kwenye "occupation health and safety" naomba kuuliza hiyo ni course unasoma au? na kama unasoma je ni vyuo gani hapa nchini wanatoa hiyo course au nje ya nchi. Tafadhali naomba unijulishe.
 
I hope nimejibu swali lako tedo. Ukiniambia level yako and what you are doing currently I might be able kukielekeza zaidi.
 
Last edited by a moderator:
This one will work manake o-level una pcb.

Ila uko determined aisee. We are talking 8 years of schooling! Jaribu pia kuangalia vyuo vya nje vinatakaje. Urusi kuna vyuo vingi, wizara ya afya wana contacts zao.

Alternative route, hiyo engineering yako ukimaliza jiingize kwenye mambo ya Occupational Health and Safety. Huko utakutana na interesting courses zinazohusisha usalama na afya za binadamu na jinsi kazi yako inavyoweza kulinda afya ya kila mmoja. Ni-PM kama utahitaji further clarification about this.

i was thinking of kumwambia aingie OSHA as mtaalam wa uhandisi ila pia afanye masters ya evt science akimajor public health and environmental toxicology naikiri this way atakuwa kwenye interesting field kuliko hata huo udaktari. binafsi as ml wa science i followed the same path and now am working also as an environmet toxicologist so hata baadhi ya publications huwnaandikia hawa OSHA. but siyo mwajiriwa wao ila consultant wao. nafikir ni organization nzuri kwa mtu kama huyu.
 
Mkuu umenigusa hapo kwenye "occupation health and safety" naomba kuuliza hiyo ni course unasoma au? na kama unasoma je ni vyuo gani hapa nchini wanatoa hiyo course au nje ya nchi. Tafadhali naomba unijulishe.
ukisoma environmental science ndani kuna hiyo course ya occupational health and safety pia environmanetal toxicology hasa kwenye upande wa uhandisi ni wataalam wachache sana waliopo so ukitaka hapo UDSM mwone prof Mrema ama Dr malongo ama mtafute dr aitwaye dr LUCY NAMKINGA huyu yupo conas watakusadia manake ndio waalim wa hii kozi walinifundisha miye enzi hizo na siku hizi wanaiita kozi hii INTEGRATED ENVIRONMENT MANAGEMENT (MIEM) ni koz nzuri sana hulali njaa mkuu ina kazi hadi unakataa mwenyewe.
 
i was thinking of kumwambia aingie OSHA as mtaalam wa uhandisi ila pia afanye masters ya evt science akimajor public health and environmental toxicology naikiri this way atakuwa kwenye interesting field kuliko hata huo udaktari. binafsi as ml wa science i followed the same path and now am working also as an environmet toxicologist so hata baadhi ya publications huwnaandikia hawa OSHA. but siyo mwajiriwa wao ila consultant wao. nafikir ni organization nzuri kwa mtu kama huyu.

Mkuu mm ndio nimemaliza Bsc(CHemistry+microbiology)....so Forensic chem(toxicology)+ENV SC na OHS uzoefu miaka 5 mgodin...naweza kupata OSHA?
 
Mkuu mm ndio nimemaliza Bsc(CHemistry+microbiology)....so Forensic chem(toxicology)+ENV SC na OHS uzoefu miaka 5 mgodin...naweza kupata OSHA?

are you waiting to die out of cyanide toxicity and minamata disease? aisee 5 yrs mgodini is enough especially kama unacheza na these heavy metals and aerosol hayo na mafurans. ok nicheki kwenye pm ama cheki na King'asti nafkiri yeye anaweza kuwa msaada akwko sana tu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom