Nifanyeje ili nisome biology ya advance? Msaada | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nifanyeje ili nisome biology ya advance? Msaada

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by ruhi, Aug 3, 2012.

 1. ruhi

  ruhi JF-Expert Member

  #1
  Aug 3, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,289
  Likes Received: 648
  Trophy Points: 280
  Nimemaliza A-LEVEL 2009 PCM,napenda kusoma biolojia ili nitimize ndoto yangu ya kua daktari,kwa vile nilifaulu vizuri chemistry,physics na adv mathematics.Naombeni msaada nifanyeje ili niweze kusoma biolojia ya Alevel kama soma moja ili niweze kukamilisha PCB.
  Mwakani namalizi B.in Electrical engineering.
  NAOMBA KUWASILISHA
   
 2. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #2
  Aug 4, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,450
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
  pole sana..hata mimi nshapitia huko..sikua na jinsi,ila ilinilazim kusoma EGM,na hivi navyoongea ni kwamba nangojea tcu selections!! umekumbusha mbal sana..ila mwombe mungu kwani yeye ndiye mpanga wa yote..
   
 3. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #3
  Aug 4, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Ongea na NECTA watakusaidia
   
 4. The_Emperor

  The_Emperor JF-Expert Member

  #4
  Aug 4, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 885
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Kwani ilikuaje ukasoma PCM kama ndoto zako ilikua PCB?
   
 5. MKANKULE

  MKANKULE JF-Expert Member

  #5
  Aug 4, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 419
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  kwa ninavyoelewa mimi huwezi kupata cheti cha A-Level kwa kusoma somo moja. jambo la kufanya inakubidi usome PCB tu ndugu yangu anyway siuji sana kama wanakubali kumchagua mtu kusomea degree ya udaktari aliesomea PCM.
   
 6. f

  fidelis zul zorander JF-Expert Member

  #6
  Aug 4, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 673
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  kcmc wanaruhusu mkuu...
   
 7. k

  king rockie ATL JF-Expert Member

  #7
  Aug 4, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Haiwezekani kama unafuata kwenye guidebook ya tcu ya mwaka huu ilikosewa ni lazima uwe na Biology!
   
 8. The_Emperor

  The_Emperor JF-Expert Member

  #8
  Aug 4, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 885
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Duh daktari bila Biology!!!Mtatuua jamani!

  Masomo ya LAZIMA kwa daktari hasa wa binadamu ni Biology na Chemistry!
   
 9. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #9
  Aug 4, 2012
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 10,617
  Likes Received: 1,469
  Trophy Points: 280
  mhhhhh.....
   
 10. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #10
  Aug 4, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,285
  Likes Received: 3,665
  Trophy Points: 280
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #11
  Aug 5, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,450
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 0
   
 12. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #12
  Aug 5, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,394
  Likes Received: 1,026
  Trophy Points: 280
  maliza hiyodegree yako kwanza kisha jiandikishe kufanya diploma ya udaktari kwa kutumia form 4 certificates ama soma a level kama PC.
   
 13. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #13
  Aug 5, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,285
  Likes Received: 3,665
  Trophy Points: 280
   
 14. ruhi

  ruhi JF-Expert Member

  #14
  Aug 5, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,289
  Likes Received: 648
  Trophy Points: 280
  kaka unajua system yetu ili,unachaguliwa kusoma hata kombi ya tatu,alaf kubadilisha nao long prosess
   
 15. ruhi

  ruhi JF-Expert Member

  #15
  Aug 5, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,289
  Likes Received: 648
  Trophy Points: 280
  Sasa si nitakua na matokeo mbili ya P & C? na je NECTA wanakubali ilo?
   
 16. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #16
  Aug 5, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mkuu we ni Mtanzania?? maana ulicho uliza duuu!! sasa mitihani ya secondary inasimamiwa na nani, au we ni Mkenya??
   
 17. ruhi

  ruhi JF-Expert Member

  #17
  Aug 5, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 1,289
  Likes Received: 648
  Trophy Points: 280
  Ujaelewa nini kaka,namanisha matokeo mawili ya physics na chemistry,japokua wakati nimefaulu p & c kwenye pcm,iwapo nitasoma PCB upya kama new combination
   
 18. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #18
  Aug 6, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Ok, nimekuelewa ulichokua unauliza. binafsi sifahamu ila jaribu kuuliza kule kwenye mtandao wa NECTA natumainibutapata maelezo ya kuridhisha.
   
 19. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #19
  Aug 6, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,194
  Likes Received: 1,590
  Trophy Points: 280
  This one will work manake o-level una pcb.

  Ila uko determined aisee. We are talking 8 years of schooling! Jaribu pia kuangalia vyuo vya nje vinatakaje. Urusi kuna vyuo vingi, wizara ya afya wana contacts zao.


  Alternative route, hiyo engineering yako ukimaliza jiingize kwenye mambo ya Occupational Health and Safety. Huko utakutana na interesting courses zinazohusisha usalama na afya za binadamu na jinsi kazi yako inavyoweza kulinda afya ya kila mmoja. Ni-PM kama utahitaji further clarification about this.
   
 20. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #20
  Aug 6, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 27,801
  Likes Received: 6,611
  Trophy Points: 280
  Mkuu umenigusa hapo kwenye "occupation health and safety" naomba kuuliza hiyo ni course unasoma au? na kama unasoma je ni vyuo gani hapa nchini wanatoa hiyo course au nje ya nchi. Tafadhali naomba unijulishe.
   
Loading...