Inawezekana nisome Diploma ya Orthopaedic?

Inawezekana nisome Diploma ya Orthopaedic?

Supu ya Kokoto

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
5,283
Reaction score
9,609
Ndugu wana JF issue yenyewe ni hii hapa; mimi nahitaji sana kusoma Diploma ya Orthopaedic, ambapo course hiyo inahitaji masomo ya biology, chemistry na physics. So nilifanya chemistry, biology na agricultural science na niliperform vizuri O'Level.

Swali langu kwamba; inawezekana nisome hiyo diploma ya orthopaedic? Kama jibu ni hapana, nifanyeje niisome?

Nipeni muongozo tafadhali.
 
Iyo kozi umeiona chuo gani??kama ni university kama muhas,cuhas,kcmc uwezi soma ila kama ni collage unapata chap tu
 
Kama ni cuhas angalia TCU inasemaje kama unaufaulu mzuri CBA wanachukua
Mkuu ufaulu kwa masomo
Biology B
Chem C
Agri B
Math D.
Kwa hapo siwezi kweli maana naona kuzeeka bila kautalaam kokote sijui watoto nitawaambia nini.
 
Mkuu ufaulu kwa masomo
Biology B
Chem C
Agri B
Math D.
Kwa hapo siwezi kweli maana naona kuzeeka bila kautalaam kokote sijui watoto nitawaambia nini.
Agr wanatumia kama alternarive ya physics zaman kidogo niliona TCU wanachukua Agrl au hata wa Nutrition CBN wamechukua sana 2018-2020 sijajua kwasasa TCU wanavigezo gani ila kwa ufaulu huo unapata muhimu nenda chuo direct achana na kuapply mitandaoni kama unahofu...
 
Asante sana KENGE 01. Let me give it a try
 
Back
Top Bottom