Nifanyeje ili niongeze viewers kwa YouTube channel yangu

hermanthegreat

JF-Expert Member
Mar 2, 2021
853
2,037
Kama title inavyojieleza hapo juu.

Channel yangu ina subscribers wachache mno, viewrs nao hawajawahi kufika hata 100, jambo linalopelekea nishindwe ku manetize channel yangu kwasababu sijakidhi vigezo.

Kama kuna mtu ana uzoefu na swala hili tafadhari nisaidie namna ya kukuza YouTube channel yangu.

Asante.
 
Fanya mambo haya.

1. SEO, hii ndio namba moja.

2. Hakikisha una good thubnail for your videos.

3. Hakikisha video zako zina good retention.

4. Provide value.

5. Usifwate watu wasapu uwaombe waangaloe au wasabsribe.

Ukiweza hayo umemaliza kazi.

NB: Kosa lako kubwa ni kwamba unawaza pesa badala ya kuwaza namna ya ku provide value kwa watu ili waangalie video zako. Ukiendelea hivi nakuhakikishia huta dumu kwenye hili gemu.
 
Sharing pia content zikiwa nzuri zinatembea pia ukipata HELA itangaze
Huna haja ya kutangaza, hilo suo jukumu lako ni jukumu la youtube.

Kama umezingatia seo, good thumnail basi jua youtube itaanza kutangaza video kwa kuzi recommend kwa watu.
 
1. Kama content za chaneli yako ni nzuri basi unaweza kupromote channel yako ili upate viewers na subs nyingi.

2. Tafuta freelancers uwalipe wasidie kukuza chaneli kwa njia ya Search Engine Optimization (SEO) na target marketing
 
Nakubaliana na wewe kwenye namba 2, japo anaweza jifunza akafanya mwenyewe.

Namba moja NO! Hana haja ya ku promote videos unless unataka short term gains ila kama anataka kitu cha muda mrefu azingatie SEO, value kwa mwangaliaji na good click through rate. Akiweza hayo youtube itaanza ku recommend zake kwa watu.
 
Ok mkuu, kila la kheri
 
Back
Top Bottom