Bracing icon
Member
- Aug 2, 2018
- 6
- 0
Wakuu habari za humu, wakuu naomba mnisaidie, mimi nina channel YouTube ina subscribers zaid ya elfu moja, Lakini kila nikipost video huwa natamani kupata viewers wengi lakini nashindwa, kwan kuna watu wengi tuh wenyewe wana idadi ya subscribers kama yangu lakini wakipost tuh video ndani ya lisaa anapata viewer's zaid ya elfu moja, naomba mnisaidie nami nifanyeje nifanikiwe