October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,635
- 4,997
Unahisi Jeff Bezos angevumbua icho alichovumbua akitokea Mtoni Relini angekuwa Tajiri ??Mkuu kuwa tajiri sio kitu rahisi kwenye uchumi tulisoma kuna njia kuu 3 za utajiri.
1.Ni kurithi-hii inachukua zaidi ya 90%
2.uvumbuzi kama akina bilget,jeff bezos
3.Ni bahati nasibu
Ukitaka kuwa millionea tatua matatizo ya watu elfu moja, ukitaka kuwa billionea kama bakhresa inabidi utatue matatizo ya watu million moja, ukitaka kuwa trilionea kama bill gate au mark zuckerberg tatua matatizo ya watu bilioni moja.
Ukitaka kuwa millionea tatua matatizo ya watu elfu moja, ukitaka kuwa billionea kama bakhresa inabidi utatue matatizo ya watu million moja, ukitaka kuwa trilionea kama bill gate au mark zuckerberg tatua matatizo ya watu bilioni moja.
Umechelewa mkuu,inabidi uwe we we kama weweHabari Wakuu
Naomba ushauri wenu mimi ninandoto yakua tajiri kama mfanyabiashara Said Salim Bakhresa.
Je, nifanye nini ili nifanikiwe Kimaisha?
Toa maoni yako hapo
Kwani kupiga Deal dhambi/hairuhuaiwi??Yawezekana sana, anza biashara ndogo ndogo, iwe inakuwa, ikifika level fulani, piga bonge la deal uongeze mtaji, liwe deal la maana na omba usikamatwe, kila la heri
Kama huelewi basi...kwani kupiga Deal dhambi/hairuhuaiwi??
Habari Wakuu
Naomba ushauri wenu mimi ninandoto yakua tajiri kama mfanyabiashara Said Salim Bakhresa.
Je, nifanye nini ili nifanikiwe Kimaisha?
Toa maoni yako hapo
Kwa hiyo mtaala wenu unafundisha kuwekeza katika kurithi na bahati nasibu kuliko hardwork,smartness,nidhamu ya pesa and the like?Mkuu kuwa tajiri sio kitu rahisi kwenye uchumi tulisoma kuna njia kuu 3 za utajiri.
1.Ni kurithi-hii inachukua zaidi ya 90%
2.uvumbuzi kama akina bilget,jeff bezos
3.Ni bahati nasibu
Bahati mbaya hakuna kitu ambacho hakijafanywa!!"Kama Hujakuta utajiri kwenye Familia yako, hakikisha Utajiri unauanzisha wewe". - unknown.
Fanya/anzisha kitu cha kipekee ambacho hakuna mtu ameshawahi kufanya kwenye Mazingira yako, utapata hela, na kama unataka hela nyingi zaid fanya ambacho wilaya yako hakuna mtu kafanya.
Na kama unataka hela zaid fanya ambacho Nchi yako hakuna mtu anafanya.
Na kama unataka uwe tajiri zaidi fanya ambacho Africa hakuna mtu amefanya.
Na uwe tajiri zaidi, basi fanya kitu ambacho Dunia hakuna mtu anafanya na watu wakipende/wakihitaji kama ni bidhaa au wahitaji kama ni Huduma.
Bahati mbaya hakuna kitu ambacho hakijafanywa!!
Hakuna kitu kijafanywa Duniani wewee.Vipo vingi sana.
Ila unatakiwa uwe na akili na rasilimali adimu zaid ambazo hazikuwepo au zipo lakin hazijageuzwa kuwa Fursa.
Hakuna kitu kijafanywa Duniani wewee.
Then kutajirika sio kufanya ambacho kijafanywa.