Nifanyeje ili mpenzi wangu aniamini?

Nifanyeje ili mpenzi wangu aniamini?

Vale swts, binadamu tunatofautiana mnoo, mjue mtu wako then go with the flow. Kuna mtu ukimfuatilia hivyo, jiandae kwa kibuti, humpi space. Me naamini mtu kutokukufuatilia sana, Kuna matatu

1. Kaona umeshindikana, kukufuatilia wewe ni kutafuta presha tu, so kakuacha ufanye utakavyojisikia. Huonagi kuna baadhi ya men wanajisifia humu kuwa wake zao "hawajali, hawawafuatilii", na utawasikia kabisa "eeh huyo mke ndo ashakomaa kwa ndoa" teh. Kuna muda it's better u-save efforts zako kwa vitu vingine more useful, jaribu kumshauri mtu ambaye bado ana akili za kivulana arudi home mapema instead of saa 8 sijui, uone mziki wake. Sasa mtu anajua ana kampani mbaya ila wewe ndo u-deal nayo, unafanyaje kwa mfano? Sio yeye ndo a-take actions?

2. Unajitambua na anakuamini sana. If I trust a person aisee anaweza hisi simpendi labda. Mtu anajitambua, ana ratiba zake za kujitambua, na cha muhimu anatoa taarifa kwamba this time naingia hapa, natokea kule, naanzaje kumuuliza uliza maswali mob? Najua hana kibaya anachokifanya na hata kama anafanya, hajanioneshea, nampe space bana afanye vitu vyake ila tu taarifa iwepo.

3. Kuna watu sijui ndo niwaite "cold", anawezekana akawa anakujali mno ila ndo haoneshi hata iweje. Yupo tu kimya most of the time, unless umefanya balaa zito ndo utahojiwa. Sasa mtu wa hivi unaweza hisi hakupendi kabisa.

Vitu vingine kama unaona ni via muhimu mpenzi wako kujua, unaweza tu kumwambia wewe mwenyewe bila kusubiri akuulize. Mimi kama mimi kuulizia mshahara wa mtu ni wito mkubwa kwangu, labda ifike stage we wanna get married ndo itabidi nijue mapema ili nijue naingia vipi, ila yeye akiwiwa kuniambia it's ok. Afu issue ya simu kuna watu wanajijua roho zao ndogo, asije kufa kwa presha bure, so hagusi simu yako hata kama haina password. Mjue tu mtu wako alivyo na anataka nini, basi
Yoo right my dear... Myb muhusika yuko hapo kwa no3 ee[emoji1] amechagua kufa na tai shingoni
 
Kwanza nimegundua kwamba, anakunywa na washkaji na hao washkaji bunduki zao hazina risasi? Kuishi mbali nae ni jipu, halafu kuachana nae ni uamuzi wako.
 
Hahaha me naona anamuonea tu dada wa watu, umeaga unaenda kunywa, nikikukataza ni nongwa, basi nakwambia tu "enjoy baby".

On a serious note, baby wake huyu anapenda ufilipino, anapenda kudekezwa, so shosti ajitahidi tu kumdekeza. Kweli wanaume hawatabiriki khaaa

Wanawake wanatabirika?
 
05969945a7c71d598473a6e08200131e.jpg
nadhani ujumbe kaupata na ataufanyia kazi.
 
Hatutabiriki pia, but I thought kuna uafadhali kwa wanaume, kumbe yaleyale
Hapana. Ni rahisi sana kum-predict mwanaume kuliko mwanamke.
Mwanamke anayekupotezea muda utamjua ndani ya week ila mwanamke anaweza ku-fake hata miaka 10.
 
Aaah sio kwa binadamu tunavyojua kupretend. Kuna mtu anavyokutreat na kubehave, unaamuamini hadi basi. But mwisho wa siku hutoamini kwa yatakayokukuta. Men are as pretenders as women
 
Yoo right my dear... Myb muhusika yuko hapo kwa no3 ee[emoji1] amechagua kufa na tai shingoni

Vale swts, binadamu tunatofautiana mnoo, mjue mtu wako then go with the flow. Kuna mtu ukimfuatilia hivyo, jiandae kwa kibuti, humpi space. Me naamini mtu kutokukufuatilia sana, Kuna matatu

1. Kaona umeshindikana, kukufuatilia wewe ni kutafuta presha tu, so kakuacha ufanye utakavyojisikia. Huonagi kuna baadhi ya men wanajisifia humu kuwa wake zao "hawajali, hawawafuatilii", na utawasikia kabisa "eeh huyo mke ndo ashakomaa kwa ndoa" teh. Kuna muda it's better u-save efforts zako kwa vitu vingine more useful, jaribu kumshauri mtu ambaye bado ana akili za kivulana arudi home mapema instead of saa 8 sijui, uone mziki wake. Sasa mtu anajua ana kampani mbaya ila wewe ndo u-deal nayo, unafanyaje kwa mfano? Sio yeye ndo a-take actions?

2. Unajitambua na anakuamini sana. If I trust a person aisee anaweza hisi simpendi labda. Mtu anajitambua, ana ratiba zake za kujitambua, na cha muhimu anatoa taarifa kwamba this time naingia hapa, natokea kule, naanzaje kumuuliza uliza maswali mob? Najua hana kibaya anachokifanya na hata kama anafanya, hajanioneshea, nampe space bana afanye vitu vyake ila tu taarifa iwepo.

3. Kuna watu sijui ndo niwaite "cold", anawezekana akawa anakujali mno ila ndo haoneshi hata iweje. Yupo tu kimya most of the time, unless umefanya balaa zito ndo utahojiwa. Sasa mtu wa hivi unaweza hisi hakupendi kabisa.

Vitu vingine kama unaona ni via muhimu mpenzi wako kujua, unaweza tu kumwambia wewe mwenyewe bila kusubiri akuulize. Mimi kama mimi kuulizia mshahara wa mtu ni wito mkubwa kwangu, labda ifike stage we wanna get married ndo itabidi nijue mapema ili nijue naingia vipi, ila yeye akiwiwa kuniambia it's ok. Afu issue ya simu kuna watu wanajijua roho zao ndogo, asije kufa kwa presha bure, so hagusi simu yako hata kama haina password. Mjue tu mtu wako alivyo na anataka nini, basi

Vale swts, binadamu tunatofautiana mnoo, mjue mtu wako then go with the flow. Kuna mtu ukimfuatilia hivyo, jiandae kwa kibuti, humpi space. Me naamini mtu kutokukufuatilia sana, Kuna matatu

1. Kaona umeshindikana, kukufuatilia wewe ni kutafuta presha tu, so kakuacha ufanye utakavyojisikia. Huonagi kuna baadhi ya men wanajisifia humu kuwa wake zao "hawajali, hawawafuatilii", na utawasikia kabisa "eeh huyo mke ndo ashakomaa kwa ndoa" teh. Kuna muda it's better u-save efforts zako kwa vitu vingine more useful, jaribu kumshauri mtu ambaye bado ana akili za kivulana arudi home mapema instead of saa 8 sijui, uone mziki wake. Sasa mtu anajua ana kampani mbaya ila wewe ndo u-deal nayo, unafanyaje kwa mfano? Sio yeye ndo a-take actions?

2. Unajitambua na anakuamini sana. If I trust a person aisee anaweza hisi simpendi labda. Mtu anajitambua, ana ratiba zake za kujitambua, na cha muhimu anatoa taarifa kwamba this time naingia hapa, natokea kule, naanzaje kumuuliza uliza maswali mob? Najua hana kibaya anachokifanya na hata kama anafanya, hajanioneshea, nampe space bana afanye vitu vyake ila tu taarifa iwepo.

3. Kuna watu sijui ndo niwaite "cold", anawezekana akawa anakujali mno ila ndo haoneshi hata iweje. Yupo tu kimya most of the time, unless umefanya balaa zito ndo utahojiwa. Sasa mtu wa hivi unaweza hisi hakupendi kabisa.

Vitu vingine kama unaona ni via muhimu mpenzi wako kujua, unaweza tu kumwambia wewe mwenyewe bila kusubiri akuulize. Mimi kama mimi kuulizia mshahara wa mtu ni wito mkubwa kwangu, labda ifike stage we wanna get married ndo itabidi nijue mapema ili nijue naingia vipi, ila yeye akiwiwa kuniambia it's ok. Afu issue ya simu kuna watu wanajijua roho zao ndogo, asije kufa kwa presha bure, so hagusi simu yako hata kama haina password. Mjue tu mtu wako alivyo na anataka nini, basi
Nimependa ufafanuz wako. Aisee Ni wakati mgumu. Najijua wazi ninaroho ndogo naogopa hata kufatilia simu ya mtu ilihali asinioneshee mambo ya ajabu. Ila mtu anaona you don't care. And mm sijawahi msikia na mtu mwingine na staki kuskia sasa nikipay attention Kila kitu ntaskia ambavyo staki kuskia naona itanipa shida. Ila bado zaidi navojaribu kuepukana na hizo shida ndo Kwanzaa nakosa kuaminika.
 
Back
Top Bottom